Pascal ni mchumia tumbo, tumpuuze

Wakati mleta mada(Technically )anaonekana Shetani je mipaka ya kuingia TZ imefungwa au ipo wazi? hivyo watu wanajiingilia tuu , vyuo na mashule vinafungwa lakini hizo airport na bandari usalama wake upoje? je kuna hatua gani za wageni waliotoka nchi kama Italy kukaa karantini? hii ni pamoja na control ya soko la kariakoo, , hivyo muda utakavyoenda itajulikana nani ni Shetani kidogo , Shetani haswaa na typical Shetani au tunasubiri idadi ya wagonjwa isome 100 ndo tuone watu wakibadilika na kuwa malaika..................
 

Mkuu nadhani haujaelewa msingi wa point yangu. Point yangu ni kuwa kutumia jina lako la NIDA au hilo mnaita ‘fake id’ hakumuongezei au kumpunguzia mtu thamani ya michango yake humu JF. Just because Paskali anatumia jina lake halisi haimaanishi mawazo yake JF ni authentic. Tena yeye ndiyo ana sababu kubwa zaidi ya kuwa fake zaidi ya mwingine anayetumia hiyo ‘fake id’.

‘Fake id’ is an oxymoron ukielewa msingi na historia nzima ya login ID kwenye matumizi ya mitandao. Hizi hoja za fake id nimeanza kuzisikia miaka hii 4 na zipo humu JF peke yake. CCM wangeanzisha forum yao wangetaka watu wasign kwa kutumia kitambulisho cha taifa!
 
Kuna baadhi ya mambo ya hovyo ya kisiasa yanayo endelea katika nchi hii na yeyote mwenye akili na utu angependa kuyakemea.

Huyo pascal pamoja na njaazake lakini kwenye ule uzi namuunga mkono.
Huwezi kuliombea taifa magonjwa eti kwa sababu ya wanasiasa.

Watu wengi wakifa wewe unapata faidagani.

Tuyachukie ma ccm kama maccm, sio kuchanganya na wengine.

MUNGU mwenyewe alikataa kuangamiza watu maelfu kwa sababu ya mtu mmoja mwenye haki.

Kubalitu ulichemka kuiombea nchi maradhi kamanda.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike tu na ikaweke makazi pale kwenye jumba jeupe na makao makuu ya fisi wa kijani pale Lumumba! I hope you all fisiem die and go to hell!
Yani unataka ndugu yake Msigwa afe? Sio jambo zuri kuombea ndugu wa wenzako wafe.
 
Sasa mtu kaficha utambulisho wake halafu anamtisha mwenzie kuwa nitakuanika,hapo ndipo hoja ya Id fake inapokuja.
 
Naona mnamshambulia kama mwizi vile Mayalla kisa amesimama katikati ya mstari apindindishi, minashangaaga sana yaani mtu akiwakosoa tu au akitofautiana nanyi atapewa majina milioni mabaya na kumshambulia kama mwizi, Kwani kama kujipendekeza mbona ninyi pia mnajipendekeza kwa mwenyekiti wa maisha hatuseme.
Sisi tunamsoma Mayalla tunamwelewa sana na anaeleweka subirini sindano ziingie mahara pake na dawa isukumwe ndiyo dawa ilivyo. Paschal ingawa nilishawai kwambia kuhusu hawa jamaa lakini leo nasimama kukutia moyo kama ulikuwa gia namba tisa malizia kumi hata bila krachi amsha dude usiwaogope hata kidogo, ukiona hiyo minun'guniko ujue unaeleweka na unafikisha hadi mwisho safi sana kaza buti. Katika hii vita wewe ni mshindi.
 
Pasco anaogopa kukosoa utawala anaogopa kupoteza tenda za promo kwenye tv. Huwa haeleweki yuko upande upi.
 
Daah, muda hautoshi jamani...comments ziwe fupifupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…