britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,177
- 41,623
Kayasema haya kupitia video ya mahojiano kuhusu swali alilomuuliza Magufuli la alipata wapi mamlaka ya kuzuia Bunge live, na kuzuia mikutano ya hadharani,
Kwa kifupi
1. Alinyang’anywa press card ya kuendelea Kama muandishi wa Habari
2. Alizuiliwa kuendelea na shughuli zake za kutanganza na pia PPRA sabasaba, na alipoenda mama mwananchi alitolewa nje na Polisi kwa maelezo maalumu,
3. Alisitishiwa mikataba sita na mitano hawakulipa chochote Ila mmoja ambao ni wa kimataifa walisitisha Lakin wakalipa,
4. Alipokeapokea mesej za vitisho sana Ila hakuuwawa kisa ni msukuma ,
Sikiliza video yote
View: https://youtu.be/7Lgm6CsQlyg?si=lK_4RfasaxHaTc5l
Britanicca