Ni ushauri mzuri, (ki mtazamo hasi), (ki mtazamo chanya) huenda akisema hivi humaanisha kuwa surprised, na kumaanisha si ulaya peke yake wanaweza tengeneza vitu vizuri peke yao, hata Africa tunaweza, ndo maana huuliza ili muhusika akatae, ili kudhihirishia umma kuwa ni vya Africa na, waafrica wameweza.