Pasaka njema wanachitchat wote

Pasaka njema wanachitchat wote

Nimeiona leo baada ya wewe kuniambia..........
Kipengele kinachokuhusu kwenye hio stori kina kosa moja kubwa ambalo litasahihishwa j4 8/4
 
Kosa gani mbona umepatia kila kitu..........
Wala Preta, unasema nimepatia ili kunipa moyo tu. Ntakupelekaje yaeda chini kwa wahadzabe ilhali wewe ni mtu wa arusha city ukitembelea gari na kupiga misele toka Sakina mpaka Njiro kutembelea mashost wako?
 
Last edited by a moderator:
happy-easter-2015-images-free.png
 
Muwe na Pasaka njema wote..
Mke wangu shansarie na marafiki wote.
happy Easter to you!!
 
Last edited by a moderator:
Nawe pia uwe na pasaka njm Shieka
Asante sana amaizing.Bora umejitokeza.Naomba nikutaarifu kwamba kinyume na nilivyoahidi, wewe hutazungumziwa j4 8/4. Sababu ni kwamba bado sijaweza kukusoma vizuri hapa Jf. Samahani kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
yaani ukitaka tukosane mm na wewe endelea na mtindo wako wa kuniandika hapa gazetini waite wale wanaopena kutoka frontpage mwa gazeti lako mm inanihusu nini mkuu?
 
yaani ukitaka tukosane mm na wewe endelea na mtindo wako wa kuniandika hapa gazetini waite wale wanaopena kutoka frontpage mwa gazeti lako mm inanihusu nini mkuu?
Basi mamaangu ladyfurahia, sitaki nikosane na wewe.Sitokuandika ingawa nimeshaandaa. sehemu inayokuhusu nitaidelete. Ok?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom