Pasaka nimeimaliza kwa kugandishwa stand

Usioneshe hasira, ikiwezekana jipendekeze tena kwake, kwani huenda kaja alikuwa na mshikaji mwingine, akijiingiza tena ndani ya box, mpige vya kutosha then mdampu
 
Teh teh teh vyakunyonga hivyoooo
 
Anza na adhabu ya kwanza fuatia ya pili
Sema hapo coco ungeoga maji ya bahari kutoa nuksi
 
kweli ww askari muoga hilo swala ni la kulileta huku kuomba ushauri
 
Pole sana... Labda kuna mdao alimpa mwaliko wa maana zaidi...
Pasaka ikisha atakufuta mwenyewe...


Cc: mahondaw
 
Na anaweza asikutafute mazima
 
Hahahaha,
Nawaza kama ungekua na ka IST lazima angedondoka tu hakuna namna😀😀
 
Hivi mtaani kwenu , kwenye madisko na kumbi za starehe hakuna mademu mpaka umfate demu away? Nyie ndo mnatafutaga kuliwa kiboga , je angekuja halafu akakwambia uagizi vinywaji viwili chako na chake halafu mkaendavyo lodge akakuwekea madawa ukazima kisha akakutafutia watu wakufumue marinda ungempata wapi ?
TENA SHURUKURU SANA KUWA HAKUJA.
 

Tatizo umeenda na daladala, kuna boya ameenda na altezza akang'oa mzigo. Tafuta hata vitz mkuu nawewe uwang'olee wanyonge wako
 

Kwanza ujue ulifanya kosa kwa kymtongoza demi wa watu. Pili iyo Siku ya miadi yenu.. Jamaa yake wa kweli ndo alikuwa scheduled kumikasika
 
Mda Wote Ambao Kashindwa Kushika Cm,Kuna Njemba Iliku Inabandua!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…