Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
asante atukuwa na mpango wa ku sex ni maonhezi tu ya maishaPole sana mkuu
Ya pili sio adhabu na hatakutafuta kweli.
Kuwa mpole muite siku nyingine umlale
Huyu askari muoga hawezi kutoa hiyo adhabu, ni mzembemzembe huwezi ukazinguliwa na dem uje kutangaza humu jf...Adhabu ya pili ndo inafaa!!! Mpe ukimya wa maana!!! "Silence is the best medicine"
Alooo poleKuna mambo yanauma sana kabla ya pasaka kuna demu wangu tulipanga tukutane leo basi mm nimejiandaa nikapanda gari hadi meeting point nikaanza kutuma meseji kimya nimeganda hapo ww simu kimya nikaona bora niende coco bearch kupunguza hasira natafakari nimpe adhabu gani
1:aniludishie nauli yangu
2:ya pili anitafute yeye mwenyewe sjmfuati tena
nb wanawake muwe na utu sio kufanyiana mambo kama aya
kapatwa na jua labdaAhaa uwezi jua mwenzio kapatwa na nn
Ungekuwa mvumilivu usubiri atakuja na maelezo gani, ndiyo uanzie hapo.anastahili Adhabu au basi umsamehe maana ilikuwa haikwepi alichofanya hakukusudia. Kingine kama ni mtu uliedumu nae kwa muda mrefu basi utakuwa unajua udhaifu wake au kama hiyo tabia ni ya kurudia rudia au lah! Kama ni mpya basi hajamalizana bado alipokuwa amejiweka kabla ya kujuana na wewe. Je kama alipatwa na jambo akiwa njiani kuja kuonana na wewe na sasa yuko hospitalini ili hali umeshaanza kumtafutia adhabu.Ahaa uwezi jua mwenzio kapatwa na nn
Kuna mambo yanauma sana kabla ya pasaka kuna demu wangu tulipanga tukutane leo basi mm nimejiandaa nikapanda gari hadi meeting point nikaanza kutuma meseji kimya nimeganda hapo ww simu kimya nikaona bora niende coco bearch kupunguza hasira natafakari nimpe adhabu gani
1:aniludishie nauli yangu
2:ya pili anitafute yeye mwenyewe sjmfuati tena
nb wanawake muwe na utu sio kufanyiana mambo kama aya