Pasaka hii nataka niilie Mwanza

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,842
Jamani eh mi sijawahi kufika Rock city ila Pasaka hii nimeona nikailie huko maana holiday ndefu hii kuanzia ijumaa kuu hadi J4 Karume day ni siku tano za nguvu.

Basi wadau mlioko huko tukaribishane jamani na ladies mlioko huko mikono juu ili nisiboreke maana nyie ndo mna-run the world sasa hata viwanja bila nyie nani atajenga.

Siku tano ni nyingi jamani anzeni kufunguka wapi na wapi nisiache kutembelea basi
.
 
Yo welcom mkuu op hautaboreka n mwendo wa kupaleee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…