Partners in crime!

duh! unataka kusema hao ndo waliosaini mikataba mibovu ya kutuibia makinikia
 
Sijui wale @mods wanaokuwaga active kuunganisha threads na kuondoa threads zinazohusu wakulu, wako wapi toka jana, au wanafurahia sana huu upuuzi!
 
Hata kuwakamata kumewashinda, mnaweza nini nyie? Madaraka mna yataka lkn hamjui matumizi yake.
 
Sijui wale @mods wanaokuwaga active kuunganisha threads na kuondoa threads zinazohusu wakulu, wako wapi toka jana, au wanafurahia sana huu upuuzi!
MODI WA SASAIVI MABOYA TU WANAVUMILIA UJINGA UNATAWALA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…