PARTICIA Vs VERONICA

yeye anampenda yupi?
Moyo wake unamtaka yupi?
Halafu tabia ya kuwa na wapenzi luluki matokeo yake ndo haya,hajui awe na nani,anatuuliza sie wakati hatumjui vero wala pati.

Achague anayempenda.

Basically alichokipigia mstari huyu Bwn ni :-
Kipi bora kati ya upate mtoto ukose manjonjo ya Malavidavi !
 
jaman kwan yy m2 mzima kbs of sound mind hana vigezo vyake.... ebo!
mwambie awaoe wote.

Obsed ! Sasa mikelele yote hiyo unavyoongea ya nini ? Mpaka nyumba ya pili wanatuchora ? Punguza basi sauti mi maskio yangu mazima! Hayo ndiyo matatizo ya kuwahi Bar mapema na kuchelewa kutoka!
 
Obsed ! Sasa mikelele yote hiyo unavyoongea ya nini ? Mpaka nyumba ya pili wanatuchora ? Punguza basi sauti mi maskio yangu mazima! Hayo ndiyo matatizo ya kuwahi Bar mapema na kuchelewa kutoka!
ahaaa...... kumbe unasikia fresh poa ngoja nipunguze sauti.
 
Veronica ana miaka 24, anamiliki degree ya Sheria, kwa sasa ni wakili wa kujitegemea katika afisi binafsi.
Vero kitabia ni mpole (very calm) mcheshi kiasi huruma, ana kifua cha kutunza siri.
Kwa mambo ya ndani ni msafi, kuhusu ufundi wa malavidavi ni mweupe kabisa! Kibuno hakipo.
Aidha hana uzazi, tatizo ambalo limekwishathibitishwa kitaalamu.
Particia ameishia darasa la 7, umri miaka 23, shughuli yake anamiliki genge la kuuza chakula (slams area situated) hamalizi miezi kadhaa hajakurupushana na wagambojiji.
Nae ni mtaratibu ila ni mkali sana anapoudhiwa. Tofauti na Vero ni mkimya hata audhiweje!.
Vinginevyo Parti ni mzazi tuongeavyo ana kachanga (infant). Na hiyo ndiyo tofauti kubwa kati yao.
Ieleweke Jf inasaidia hata walio nje ya membars, muamala au habari hii nimeombwa Rasmi na mdau wangu kazini nimuulizie humu ndani (yeye si membar Jf) anaomba nasaha, ushauri, mawazo yenu kati ya Particia na Veronica yupi mwenye vigezo mvuto kwa kumuoa ?
Naomba kutoa hoja !
aendelee kutafuta labda atampata atakayemfaa, mwenye vigezo anavyovitaka yeye.
 
Amuoe anayempenda yeye. Hawezi kusema anawapenda wote sawa. Ina maana binti akiwa hana uwezo wa kuzaa kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wake adhabu yake ni kutoolewa?
"Never advice a friend to go to war or to marry"
 
Back
Top Bottom