Part time jobs

Part time jobs

isimbula

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
15
Reaction score
0
Habari wana jamvi mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa bongo
kwa yeyote mwenye kujua sehemu ambapo ninaweza pata part time job
naomba aniunganishe nina uzoefu na mambo ya sales and marketing.
 
ni kweli kazi ni ngumu kwa sasa ila mi nakushauri usikate tamaa endelea kutumu barua ikiwezekana fika ofisi hadi ofisi face to face omba hata kujitolea, halafu sales and marketing huwa wako mahiri sana kwa kuongea kwa hiyo jitahidi kujieleza vizuri utapata tu rafiki yangu.
best wishes!
 
Back
Top Bottom