Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,651
ha ha ha muache ajaribu bahati yake,wengine wamefanikiwa kutokana na muonekano wao/kupitia mahusiano.Inawezekana nayeye ameingia kimkakati ili afanikishe anachokitafuta.Kwa hali ya sasa kupata nafasi kwa 'reputable company' kwa fani hizi za kawaida ambazo sio 'technical' ni ngumu sana.Cutelisa kama lilivyo jina lako utakua cute uwe makini watu sio wazuri..toa namba acha email


