mushiheriel
Member
- Sep 8, 2016
- 73
- 24
Nipo singida ni muhitimu wa kidato cha nne ,natafuta part time job kuanzia sasa hadi january hivi.
Naweza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha ,ufaulu wangu ni division 4.26
Naweza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha ,ufaulu wangu ni division 4.26