Part 2: Ujasusi ndani ya Boeing

Asante mkuu kwa uelewa mkubwa ulionao, ni wachache mno wenye uelewa mkubwa Kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa kila kitu kiko kwa waongoza ndege (Air Traffic Controller - ATC) kwanini wanahangaikaga kutafuta blackbox wanasema hatujui tatizo la ndege mpaka tupate black box? taarifa zote si zipo kwa ATC ama ... wakipita anga ambalo hakuna ATC huwa wanafanyaje?

Umesema kompyuta haiwezi kushusha ndege, mkuu pitia zile VNAV na LNAV (vertical navigation & lateral navigation) ndo utaona kama computer za ndege huwa zinaongoza ndege mwanzo mwisho mpaka kufanya AUTOLAND zenyewe, yaani inaweza kuruka rubani asifanye chochote mpaka inafikia kutua salama salimini uwanjani tena hadi braking ambazo ni AUTOBRAKE pamoja na ANTISKIDDING zipo as long as awe amefeed kwenye MCDU/CDU, ukipitia hapo ndo utaona MCAS system iliifanya nini Lion Air na Ethiopian air, ajali kama hizi iliwahi kutokea kwa Airbus ambapo computer ilisoma kuwa ndege imepitch ile nose upward kwa degree nyingi wakati ilikuwa kwenye 180 degree kilichotokea ni ndege kudive vertically kilichosaidia ilikua futi 30,000 juu hivyo alichofanya rubani ni kuondoa autopilot na kuanza kupambana nayo mpaka ikarudi kwenye 180 degrees ambayo ni normal jaribu kuitafuta hiyo habari utaona pia, ile point ya engine mimi niliipinga sababu sio engine iliyofeli (mwanzo ulisema engine kwenye post yako ya kwanza) ila ni hiyo system ya MCAS na kama unafatilia mwaka jana/juzi kuna virus waliivamia boeing kwenda kuharibu system za computer ili kitokee kilichotokea (nimeona nikurahisishie) huko kwenye ugaidi toka awali nilikua nakueleza kuwa 'upo uwezekano' ila tatizo langu ni data zako ziko too general labda kwakuwa hauko karibu na maswala ya aviation so unajumlisha maoni ambayo kitaaluma yako nje kabisa ya ukweli wa ndege inavyofanya kazi, nakushauri ukiwa unakuja na maada ambayo imejumuisha mambo ya taaluma za hawa watu basi ni muhimu upitie kwanza kipengele hadi kipengele then ndo uende kwenye nadharia zinazohusu ujasusi maana huko ushahidi huwa mdogo sana ila huwa tunaishia kuona matokeo yake tu ya mwisho! Hili la Kenya na viwanda sitaki kuliingilia ila halihusiki sana kwa kufeli kwetu, Settlers walifungua viwanda kule coz ile nchi ilikuwa yao settlers so waliiendeleza utaona tofauti iliyokuwepo baada ya kupata uhuru ilikuwa ni mfumo wa kiuchumi, makampuni makubwa ambayo sisi tulisema ya 'mabeberu' tayari yalishajenga viwanda huko Kenya mfano ni Nestle (part ya Unilever) sisi tukakomaa na mashirika yawe ya serikali kitu ambacho hata nchi za magharibi zilishashindwa zikaamua kuwezesha watu binafsi (angalia mfano wa Telegram toka ugunduzi, kufeli ikiwa chini ya serikali na mpaka kubinafsishwa)
 
Mkuu kuna sehemu hujanielewa vizuri, computer kwenye ndege ndo kila kitu Kwa maana ya kwamba,kuanzia Engine, mfumo wa umeme, mafuta, hali ya hewa na nk vyote vinaripotiwa na Computer ufanyaji kazi wake, kila kitu kinajitegemea kufanya kazi lakini computer inachota Taarifa na rubani kujua status ya ndege kwa wakati husika ,lakini computer haiifanyi engine iwe na efficiency ktk ku operate kazi ya computer kufanya Delivery Report of the relevant device, kwa mfano taa zikiungua kwenye ndege computer inatoa Taarifa kuwa taa zimeungua lakini siyo computer ndo imeunguza taa, sasa computer itawezaje kufanya Engine ya ndege ifeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa hapo tuko sambamba, na utakubaliana na mimi kompyuta ndio inahusika hata katika kuongoza hizo ndege zenyewe ikiwemo umbali toka ardhini (VNAV) uelekeo wa ndege (LNAV) na hata AUTOLAND kupitia control system ya computer ya ndege (FMS - Flight Management System) ile kauli yako ya "computer haiwezi kushusha ndege tumeizikia hapo kuwa haikuwa sahihi", kwa maoni yangu computer ndiyo iliyovamiwa na kuleta hitilafu hatimaye yakatokea majanga unaweza kuangalia tweet ya Boeing walichojibu kipindi kuna tetesi za kuvamiwa na virus walikubaliana kuwa wako under attack ya computer systms zao angalia kwenye link hapa
 
Nakushukuru sana mkuu umekuwa bega Kwa bega na mimi hatimaye ukweli umedhihirika kuwa kweli Boeing wamehujumiwa na majasusi ili kuiharibia biashara yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…