Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,542
- 6,490
Anaandika jonhson✍🏻✍🏻
Kwa jina naitwa jonhson ni mzaliwa wa mkoa wa mara ukuaji wangu umekuwa na mapito mengi ya kuumiza sana.
Nilizaliwa miaka 33 iliyopita nikiwa na afya nzuri ila baada ya miezi kadhaa niliugua sana mpaka nafikisha miaka mitatu nilikuwa nimekonda mno, yani kwa maelezo ya mama yangu ananiambia kuwa sikuwahi kutambaa mimi nilikaa tu nilivyamka nikaanza kutembea.
Mungu akanisaidia nikafanikiwa kufikisha miaka saba but nikiwa katika hali ya kudhoofika sana baba hakuwa anajali sana kuhusu afya yangu ila mama yangu mzazi hii hali ilikuwa inamuumiza sana,
basi nikafanikiwa kuanza shule ya msingi huko ndipo nilipopata kunyanyasika sana kuanzia kwa walimu mpaka wanafunzi wenzangu kutokana na afya yangu yani nilikuwa nimekonda mno nakula vzr ila sinenepi na wala siumwi basi huko shuleni nilipitia manyanyaso mengi nakumbuka siku moja mwalimu aliwahi kuniita kwa jina la marehemu basi toka siku hiyo darasani nikawa naitwa marehemu aisee niliumia sana. Mpaka namaliza shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuogopa watu sababu ya mapungufu ya afya niliyonayo.
nimezaliwa mwaka 90 lakini mahusiano yangu ya kwanza nimeanza 2021 nikiwa na miaka 30. Just imagine kwa kipindi chote hicho nilikuwa ni mtu wa kujichua na kutizama picha za ngono sababu ninaogopa kutongoza wadada kutokana na dharau na manyanyaso nayopitia kwa jamii hivyo najiona kabisa sistahili kuwa na mahusiano yoyote.
Napitia nyakati ngumu sana yani kwa jinsi nilivyokonda ninaogopa hata kuvua nguo mbele ya mwanamke kitu ambacho kinanifanya kukosa comfindence hata kwenye tendo lenyewe.
Mbaya zaidi mimi nina mwili mdogo pia ni mfupi japo muonekano wangu wa sura sio mbaya.
Hakika ndugu zangu hii hali inanitesa sana na inaniumiza mno, just imagine nina miaka 35 lakini muonekano wangu ni kama kijana wa miaka 23😢😢 na mbaya zaidi mambo ya kifedha pia sipo vzr sana.
Miez miwili iliyopita nilianzisha mahusiano na mdada mmoja mzr sana but baada ya muda pia alianza kunitoa kasoro maana ilikuwa wakati wa kusex ninashindwa kuvua nguo kwa uhuru kutokana na kuwa na mwili usiovutia kutazama kitu ambacho huwa kinanifanya nashidwa kuperfom vzr sababu ya hofu.
Yule mdada nilijaribu kumsihi tuendelee na mahusiano lakini alikataa mwisho akaniambia nisimsumbue bali nifocus na afya yangu na mwili wangu huu ulioisha mwisho wa siku akaniblock kabisa.
Naumia sana napoona wadada wazuri wakipita barabarani naona hawa mimi sikuumbiwa kabisa sababu ya muonekano wangu naishia kulia na kujuta why nilizaliwa hivi.
So ndugu zangu ninaomba kama kuna namna ya kupata madawa ya kuongeza mwili ya uhakika naomba mnisaidie walau niondokane na hii kero. Sababu sioni faida yoyote ya kuwa hapa duniani japo kazi na pesa za kujikimu ninazo but nimekuwa mtu wa mawazo na kujifungia ndani muda wote hakika napitia kipindi kigumu sababu mara zote wanawake kwangu huwa wapo sababu ya maslahi na hakuna mwanamke aliyewahi kunipenda toka moyoni mpaka kufikia umri huu inasikitisha sana. Ufupi na kuwa na mwili mdogo kwangu imekuwa changamoto mno. Nawaza uzee wangu utakuwaje aisee inaumiza sana. Mahusiano sina marafiki sina naona kama dunia imenitenga kabisa