Pia wakatisha parking wana mtindo wa kurushiana picha whatsApp. Mfano umepaki kariakoo ana scan kwa mashine yake. Afu anapiga picha ya namba ya usajili kupitia simu, anatuma kwa mtu wa ilala.
Kijana wa ilala anafungua picha anasogeza mashine kupiga picha kwenye simu yake na kitu kinaitika vizuri kabisa.
Madhara parking fee kubwa kumbe wauni wanafukuzia target
Wapendwa natumaini hamjambo.
Kama kuna mtu anadaiwa parking ya gari inayozidi 10,000. Lipa kabla ya saa nne leo, vinginevyo ukikamatwa gari linapelekwa godown na unalipa laki nne.! Hiyo ni kuanzia leo 04/09/2023