Park Hyatt Zanzibar

bbenedict

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
91
Reaction score
7
Habari Zenu Wakuu,nimesikia Zanzibar Mwanzoni Mwa Mwaka 2015 Kunakaribia Kufunguliwa Hoteli Mpya Ya Park Hyatt. Tafathali Waliosikia,mkuu(Zanzibar Spices)nijuzeni Kulikoni Mpango Mzima Wa Kutuma Maombi Ama Jambo Lolote Lile Linalohusu Ajira Kwenye Hoteli Hiyo. Thanks Wakuu!!!!
 
Nikweli kuna dude linashushwa maeneo ya Shangani mitaa usawa wa ufukwe wa Zanzibar Serena Inn na Tembo House Hotel.
Hii ndio Top Class in Zanzibar Stonetown,halafu Serena ndio atafuatia.
Na kama sikosei ndio Hotel ya kwanza pekeeyenye vyumba vingi Stonetown na ya pili kwa Wilaya ya mjini Magharibi baada ya Zanzibar Beach Resort
Nafasi za kazi ingia hapa
https://hyatt.taleo.net/careersecti...n=250160210089&src=CWS-1&searchExpanded=false

Ukiwa mjanja ujue sio kila nafasi za kazi huwa zinawekwa wazi,wengine wanaenda pale na ku dropp Barua kisha wanasepa,wakija ma PO wanaipitia mara unastukia unaitwa.
Unajua kwenye Ajira za mwanzo kwa hotel kama hizi sio wote walioitwa kwenye ajira wana report,wengine wanakuwa wameisha pata sehem na wame cancel kwenda kwao.

Jipange,hawa jamaa ni chain ya Kilimanjaro Hyatt Regency(Ikijulikana Kama Kilimanjaro Hotel)
 
Zanzibar Spices,Nikweli kuna dude linashushwa maeneo ya Shangani mitaa usawa wa ufukwe wa Zanzibar Serena Inn na Tembo House Hotel.
Hii ndio Top Class in Zanzibar Stonetown,halafu Serena ndio atafuatia.
Na kama sikosei ndio Hotel ya kwanza pekeeyenye vyumba vingi Stonetown na ya pili kwa Wilaya ya mjini Magharibi baada ya Zanzibar Beach Resort

Ukiwa mjanja ujue sio kila nafasi za kazi huwa zinawekwa wazi,wengine wanaenda pale na ku dropp Barua kisha wanasepa,wakija ma PO wanaipitia mara unastukia unaitwa.
Unajua kwenye Ajira za mwanzo kwa hotel kama hizi sio wote walioitwa kwenye ajira wana report,wengine wanakuwa wameisha pata sehem na wame cancel kwenda kwao.

Jipange,hawa jamaa ni chain ya Kilimanjaro Hyatt Regency(Ikijulikana Kama Kilimanjaro Hotel
Heshima Kwako Mkuu(Zanzibar Spices)ahsante Sana Kwa Feedback Ila Kwa Sisi Wa Mikoani Kudrop Barua Ni Ngumu Wacha Tu Tuangalie Njia Nyingine Za Kuweza Kutuma Cv.
Mm Ni Yule Mtu Wako Anaepiga French N Italian Vizuri,mbona Umeniacha Hewani Mkuu?
 
Ila uwe tayari tu kwa uchaguzi wa 2015.
Sie wengine masugu nyie waoga huku Zanzibar kipindi hicho shughuli pevu.

We tuma kwenye email yao hiyo CV.
Ila kuna tetesi kwamba baadhi ya Staffs wao wanakuwa trained Pale Kilimanjaro Hotel Dar(hili jina la HYATT bob Marley hili)Haya pale Hyatt Regency Kilimanjaro Hotel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…