Utoto mwingi sana neymar na hakui, kiufupi tu psg wanambania sana pasii Messi. Sometimes mbappe na kimpembe wanamuona Messi yuko sehemu nzuli hawampasii.
Vijana walikuwa wanambania sana The Goat...muda wote wanacheza upande wa mbappe halafu wanapoteza.....huku Messi hawampi mipira, hilo goli lenyewe alitoa pasi akaomba arudishiwe ndio akaenda kuscore....They were sure to score more than four goals endapo wasingembania Messi kumpa passes....kama wataendelea na uselfish wao hawafiki kokote....kocha kama kocha ajipange upya, awakalishe vijana wake waache uselfish/choyo kwa Messi, Messi ndie Psg yenyewe, Messi ndie Pocchetino....