Watu wakapige kura kwaajili ya maendeleo au kwaajili ya kuweka historia ya mtu? Huu ni ushamba mwingi bhana unachekesha sana. Uchawa uchawa uchawa tuuuu!
==============
"kura yako ya ndiyo ni yenye thamani kubwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan tumpe ahsante kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa kipindi cha miaka minne na nusu" amesema Paresso
"Watanzania twendeni tukaweke historia kwa kumchagua Rais wa kwanza mwanamke anayetokana na kura za Watanzania" ameongeza Paresso
Cecilia Paresso ametoa wito huo leo Oktoba 23, 2025 alipokuwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Buza jijini Dar es Salaam