britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,956
- 45,665
Kwa nini unaipenda CCM ?1/ Kuna kitu kinashangaza wengi kwenye forum yetu.
Mwanachama wa CCM anayeitwa BRITANICCA amekuwa gumzo.
2/ BRITANICCA ni mwanachama wa chama tawala CCM. Lakini kazi yake kubwa ni kukosoa mienendo ya chama chake mwenyewe kila siku.
3/ Cha kushangaza zaidi...
Anamkubali na kumsifu zaidi Mwenyekiti wa CHADEMA kuliko Mwenyekiti wake mwenyewe wa CCM.
4/ Sio tu hivyo.
Amegeuka kuwa mfuasi kindakindaki wa LISSU. Anamfuata na kumsapoti kuliko hata anavyomfuata Mwenyekiti wake Samia.
5/ Hii inatuambia nini?
Kwamba hata ndani ya chama tawala kuna sauti zinazopinga, kuna watu wamechoka, kuna watu wanaona kinyume kinaendelea.
6/ Swali ni: Hii ni ujasiri wa kutoa maoni au ni ishara ya mgawanyiko ndani?
Maoni yenu? π
Britanicca
Labda anaipenda sana ccm kuliko taifa la Tanganyika. Hili la upendo kwa ccm dhidi ya taifa ni kwa wanachama almost wote wa ccm.britanicca ni kama Warioba, anaipenda ccm na anatamani ibadilike iweze kuhudumia maslahi ya wananchi. Hata hivyo hilo kwa sasa haliwezekani kwani ccm inahudumia maslahi ya wateule wachache hivyo watu kama Britanicca na Warioba (na Pole pole R.IP) hawana cha kufanya zaidi ya kuja kupunguza stress hapa JF
ExactlyHiyo inaonyesha wewe uko principled.
ThubutuMarehemu Mustafa Sabodo alikuwa mfanyabiashara mkubwa na kada wa muda mrefu wa CCM aliyewahi kutoa michango ya fedha na kuunga mkono CHADEMA ili kuimarisha demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania.Sababu na Msimamo wa SabodoKukuza Demokrasia: Aliamini kuwa upinzani wenye nguvu unasaidia kuisimamia serikali na kuleta maendeleo.Ushirikiano Huru: Licha ya kuwa kada wa CCM, alitoa misaada ya mamilioni ya fedha kwa CHADEMA katika vipindi tofauti vya uchaguzi na mikutano yao mikuu.Mtazamo wa CCM: Chama cha CCM kilieleza kuwa kila mtanzania ana uhuru wa kutumia rasilimali zake na kutoa msaada kwa chama chochote apendacho.
huyu mwana ccm wakati wa uhai wake alikuwa anatoa michango yake ya fedha kusapoti chadema ,je kwa leo mwanachama wa ccm tena mfanyabiashara mkubwa anaweza kwenda kupeleka mchango wa pesa zake chadema na kuwapongeza chadema huku yeye ni mwana ccm?? inawezekana leo??
πThubutu
CCM haona mwanachama anaitwa jina hilo huyo ni kiazi wa ufipa1/ Kuna kitu kinashangaza wengi kwenye forum yetu.
Mwanachama wa CCM anayeitwa BRITANICCA amekuwa gumzo.
2/ BRITANICCA ni mwanachama wa chama tawala CCM. Lakini kazi yake kubwa ni kukosoa mienendo ya chama chake mwenyewe kila siku.
3/ Cha kushangaza zaidi...
Anamkubali na kumsifu zaidi Mwenyekiti wa CHADEMA kuliko Mwenyekiti wake mwenyewe wa CCM.
4/ Sio tu hivyo.
Amegeuka kuwa mfuasi kindakindaki wa LISSU. Anamfuata na kumsapoti kuliko hata anavyomfuata Mwenyekiti wake Samia.
5/ Hii inatuambia nini?
Kwamba hata ndani ya chama tawala kuna sauti zinazopinga, kuna watu wamechoka, kuna watu wanaona kinyume kinaendelea.
6/ Swali ni: Hii ni ujasiri wa kutoa maoni au ni ishara ya mgawanyiko ndani?
Maoni yenu? π
Britanicca
Ila ina mwanachama anaitwa USSR we TagaCCM haona mwanachama anaitwa jina hilo huyo ni kiazi wa ufipa
USSR
Mi ni CCm kitambo dogo, Tatizo mnadhan CCM lazima kila mtu awe muimba mapambioCCM haona mwanachama anaitwa jina hilo huyo ni kiazi wa ufipa
USSR