Papo kwa Papo-Toka Bungeni

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
PM kaulizwa kwanini Rais anapokuwa nje ya nchi anamwachia mamlaka Makamu wa Rais, naye kama hayupo ulingo unaachwa kwa PM, sasa hili suala la Kumuondoa madarakani Jairo KM imekuaje linasuasua wakati Makamu wa rais anaweza kumnyofoa tu??

Pinda kajibu pouwa: kwamba kuna kikomo chake kiutendaji, kwani Rais asipokuwepo huwezi kuanza kufukuza watu tu, au kuwafungulia wafungwa, hii kuna ukomo wake.

Swali la DECI naona kalikimbia, kadai lipo mahakani na kawasihi hasa walimu wawe makini na hizi type za DECI, kwani wao ni rahisi kurubuniwa.
 
kaka mbona umepotea ama ulikuwa unatubipu wanaJF? Lete habari

habari si ndo hiyo hapo juu...lol, mi nipo kaka, ujue maswali yalikuwa 5 tu, mengine yanahusu zao la pamba, n.k

NB. Pinda yupo kazini, kajibu maswali vizuri sana. Nampongeza, Spika kadai wengine watauliza kesho
 
viongozi wa serikali hii ya ccm sijawapigia kura.....na wala sitawapigia kura yangu mpaka nakufa...naipenda nchi..nitafanya kazi ili niishi nitakavyo...maana serikali inataka hajali uchumi wa nchi yetu.
 
Huyu Mizengwe Punda naye si wale wale tu!!!

Yaani haka kazee sasa hivi nakachukia sijui nitafanyaje mimi??

Rais hajui analolifanya, PM naye hivyo hivyo tu yaani usanii kila kona sijui tutatokaje hapa tulipo?!!
 
Back
Top Bottom