Papii Kocha vs Christian Bela; Kura yako weka hapa

Mida fulani ya alasiri nilikuwa nikisikiliza wimbo wa huyu muimbaji ambaye kwa sasa yuko kifunguni,nilimuwaza sana na nikahisi angekuwepo muda huu huku urain basi angekuwa akitoa upinzan wa kutosha kwa mkali mwengine anayekimbiza huku kitaani,hivi unafikiri kwa hawa wakali wawili ungewekwa mchuano we ungempigia nan kura kati ya papii kocha na bela karibu MWANA JAMII FORUM ufunguke.

kila jambo na wakati wake, papii muda wake ushapita so now ni bella
 
Kweli kuwa na sikio la Muzik kipaji!Papii hakua na Sauti ya kumshinda hata Jose Mara,Malou stonch au Charles Baba ila alikua rapper mzur anajua maneno ya kitaa na kutumia kwenye ghani ila kwa uimbaji hamuwezi Bella hata hizo nyimbo mnazotaja ameimba alirudia za Nguza na alifundishwa aimbaje na Babake!Bella ni utunzi wake na Jeshi la mtu moko
 
Umesema ukweli kabisa, Bella ni jeshi la mtu moko
 
Kweli kuwa na sikio la Muzik kipaji!Papii hakua na Sauti ya kumshinda hata Jose Mara,Malou stonch au Charles Baba ila alikua rapper mzur anajua maneno ya kitaa na kutumia kwenye ghani ila kwa uimbaji hamuwezi Bella hata hizo nyimbo mnazotaja ameimba alirudia za Nguza na alifundishwa aimbaje na Babake!Bella ni utunzi wake na Jeshi la mtu moko

Your not serious kabisa kumlinganisha Papii na kina Charles Baba au Jose Mara .Wimbo wa Salima aliurudia?
 
Haujui muziki period!kama had Salima haujui kwamba ni wimbo wa Nguza Viking!Papii si muimbaji ni atalaku au rapper Mzuri ilo nakubali;nimekuambia hawashind kwa vocal hao niliowataja!unafananisha midfielder na mshambuliaji,vitu viwil tofaut Papii mshindanishe na kitokololo,7,Totoo ze Bingwa nk
 
Back
Top Bottom