Pape Sakho atimkia Ufaransa

Ma agent...
Wabongo hatuna ma agents level hiyo..
WA Nigeria na west Africans now wako Wengi Sana hiyo sekta
Sasa mtu kama Kazumari naye ajiite Agent unatarajia nini?

Lakini nadhani hata Samatta anastahili lawama ameshindwa kuwafungulia milango wengine.

Hili kiujumla ni tatizo letu Wabongo, hata upande wa Diaspora ni hivyo hivyo kufunguliana milango ni wazito mtu anataka atambe yeye tu akirudi muwe machawa wake wa kunywa bia za bure.
 
Yaani Samata kanishangaza sana..
Alikuwa anatakiwa anawaalika Tu wenzie wanafanya mazoezi huko Uturuki au kule Belgium baasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…