Papa anaweza kuchaguliwa kutoka popote pale, iwe ni Amerika, Asia , Afrika au Ulaya. Hakuna mipango mipango kama tunavyoweza kufikiri kwa mtindo huu. Ninajua waandishi wa habari walivyozoea 'kuuza' habari zao, yawezekana kukawa na 'exaggerations' fulani juu ya maneno wa huyo aliyezungumza kwa kuwa mzungumzaji anajua fika namna papa anavyopatikana.