Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Nachelea wakristu wa kisasa wasijesema ana pepo wa mauti...hawajui kuwa duniani tuko safarini na kwamba kwa kufa ndipo tunazaliwa katika uzima wa milele.May God bless him.
Mungu aandae mahali pa kumlaza amina
Kwani watu huwa wanalala huko?
Kufa mtu anaweza julishwa,usilojua Ni kuja kwa yesu
Ndiyo wanalala peponi
Mmmmh!!! kwa hiyo kuna vitanda ama?
Mageneza tu