Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,285
- 25,362
Mungu ampatie uponaji wa haraka na kuendelea kumpatia Miaka Mingi ya kuendelea kuishi hapa Duniani.Angestaafu tu , aangalie afya yake ,,, ! Get well soon Papa
Huyo Mungu atawezaje kumpatia uponyaji, Wakati ameshindwa kumkinga asipate hiyo Nimonia?Mungu ampatie uponaji wa haraka na kuendelea kumpatia Miaka Mingi ya kuendelea kuishi hapa Duniani.
Kasome kitabu cha Ayubu.Huyo Mungu atawezaje kumpatia uponyaji, Wakati ameshindwa kumkinga asipate hiyo Nimonia?
Hakuna Mungu wa kutoa uponyaji.
Huyo Mungu hayupo.
Embu andika vitu kwa Kufikiria kwanza.UMRI WAKE HUO NDYO MANA ANATOA MAAMUZI YA HOVYO HOVYO.YEYE NA WASIRA NI MDA WAO KUCHEZA VITUKUU.
Sawa baba afueni yako!Huyo Mungu atawezaje kumpatia uponyaji, Wakati ameshindwa kumkinga asipate hiyo Nimonia?
Hakuna Mungu wa kutoa uponyaji.
Huyo Mungu hayupo.
Mwamba we ndo hautaki tu kusikia masuala ya Mungu πππHuyo Mungu atawezaje kumpatia uponyaji, Wakati ameshindwa kumkinga asipate hiyo Nimonia?
Hakuna Mungu wa kutoa uponyaji.
Huyo Mungu hayupo.
Huyo Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na magonjwa.Sawa baba afueni yako!
Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na magonjwa.Mwamba we ndo hautaki tu kusikia masuala ya Mungu πππ
Hainaga kustaafuAngestaafu tu , aangalie afya yake ,,, ! Get well soon Papa
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Huyo Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na magonjwa.
Huyo Mungu angekuwepo wala usingehitaji kumuomba akuponye.
Mungu angekuwepo angekuepusha na magonjwa pasipo hata wewe kumuomba.
Kwa niniMungu angekuwepo wala kusingekuwa na magonjwa.
Basi ajiuzuru tuHainaga kustaafu
Hata hujui hayo unayosema magonjwa yanakukaje kwa binadamu!Huyo Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na magonjwa.
Huyo Mungu angekuwepo wala usingehitaji kumuomba akuponye.
Mungu angekuwepo, angekuepusha na magonjwa pasipo hata wewe kumuomba.