2019 Kuna mkubwa wao mmoja alipigwa mpaka kifo kule tabata darajani. So ilikuwepo tu sema walikuwa wanashughulikiwa ipasavyo ya wanachakazwa tofauti na Sasa imekuwa Kama wanashirikiana na polisiHivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?
Mm mwenyewe nasema hivyohivyo kuna kitu kinaendelea sio bure sasa subiri wananchi wachoke alafu waone kitakachotokeaKuna kitu nyuma ya pazia sio bure.
Kwani hii ni awamu ya Magufuli?Hivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?
Ugumu wa maisha uliyoletwa na kijani sasa watu wameanza kuamka..ni suala la muda tu..mana wamelinajisi sanduku la kura.Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es salaam Kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya mtongani .
Jambo la ajabu kituo Cha polisi kipo karibu Kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja Kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi Kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Wakateni viganja vya mikonoNdugu wanabodi, nipo town posts Dar es salaam Kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya mtongani .
Jambo la ajabu kituo Cha polisi kipo karibu Kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja Kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi Kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Huyu jamaa yako achunguzwe aisee. Atakuwa mmoja wao au ni mfadhiri. Yaani nimeona maduka yamefungwa mpaka mashimoni kuelekea Kwa ndevu halafu yeye anakwambia Hamna kitu? Sio bureKuna jamaa yangu anaishi hapo mtongani, tena anafanyia biashara zake hapo barabarani na kurudi kwaje ndani kidogo, njmempigia anaxhangaz tu kusikia swala hilo kwani halipo tu. Labda km mna agenda yenu ktk uzushi huu!
Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es salaam Kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya mtongani .
Jambo la ajabu kituo Cha polisi kipo karibu Kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja Kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi Kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Uko sahihi Mkuu, hii awamu inaelekea inaubora wa kipekee. Maana imejawa na huruma kwa panya wetu.Kwani hii ni awamu ya Magufuli?
Ndiyo maana zito alisema mkalale nae pale
Mambo hayawezi kufanana na hamuwezi kulazimisha hilo
Kama akili zako hazitoshi kutambua hilo basi una matatizo ya akili
Kila mtu ana ubora wake