Yaani bunge lijadili panya road? Acha masihara hayo, hivi vitoto mnavifuga wenyewe ndio bunge liache kazi zake kuwajadili?Wale vijana wapiga mapanga usiku maarufu kama panya Road wameibukia Bunju ambapo Jumamosi iliyopita walitinga Bunju B mitaa ya KIHONZILE na kuumiza watu zaidi ya 8 na kuiba vitu kadhaa zikiwepo TV na simu za mikononi na fedha.
Tukio hilo ambalo halikutangazwa popote kutokana na OCD wa Kawe kulifunika na hivyo wananchi kutopata habari na kujiweka ktk tahadhari limepelekea usiku wa kuamkia leo panya road wameibukia mitaa ya maarufu kama kwa Mama Munuo na kuendeleza ubabe huohuo.
Katika matukio yote mawili Polisi walipigiwa simu ila hawakupokea na pia Polisi wa dharura wanaokaa maeneo ya barabarani walipofuatwa hawakuwepo eneo hilo.
Tunaomba Serikali kupitia Bunge lake linalofanya vikao vyake kijini Dodoma kwa dharura wajadili kadhia hii siku ya leo na kupeleka askari wa kutosha eneo hilo.
Walivyojadili ilivyotokea Mbagala na Tabata walikua hawana PhDYaani bunge kijadili panya road? Acha masihara hayo, hivi vitoto mnavifuga wenyewe ndio bunge liache kazi zake kuwajadili?
Ningekuona wa maana ungesema bunge lijadili ukali wa maisha.
Na siyo watakuja huwa most areas hapa Dar wanachanga lakini hamna kinachofanyikaWalivyokuwa na akili fupi watakuja na stori za watu wachangie Tsh2,000/= kwa ajili ya Sungusungu.
Sasa OCD wa Kawe anahusikaje Bunju? Maeneo hayo mlipaswa kuwasiliana na OCD wa Mabwepande....Wale vijana wapiga mapanga usiku maarufu kama panya Road wameibukia Bunju ambapo Jumamosi iliyopita walitinga Bunju B mitaa ya KIHONZILE na kuumiza watu zaidi ya 8 na kuiba vitu kadhaa zikiwepo TV na simu za mikononi na fedha.
Tukio hilo ambalo halikutangazwa popote kutokana na OCD wa Kawe kulifunika na hivyo wananchi kutopata habari na kujiweka ktk tahadhari limepelekea usiku wa kuamkia leo panya road wameibukia mitaa ya maarufu kama kwa Mama Munuo na kuendeleza ubabe huohuo.
Katika matukio yote mawili Polisi walipigiwa simu ila hawakupokea na pia Polisi wa dharura wanaokaa maeneo ya barabarani walipofuatwa hawakuwepo eneo hilo.
Tunaomba Serikali kupitia Bunge lake linalofanya vikao vyake kijini Dodoma kwa dharura wajadili kadhia hii siku ya leo na kupeleka askari wa kutosha eneo hilo.
Wale vijana wapiga mapanga usiku maarufu kama panya Road wameibukia Bunju ambapo Jumamosi iliyopita walitinga Bunju B mitaa ya KIHONZILE na kuumiza watu zaidi ya 8 na kuiba vitu kadhaa zikiwepo TV na simu za mikononi na fedha.

Wanakamata vibaka wanawapeleka court Ila Mashaidi hawaendi kutoa Ushaidi Mahakama inawaachia Watuhiwa kisha Mama anaunda tume ya haki Jinai Kwanini Serikali unashindwa kesi nyingi Mahakamani Jibu linakuja kuwa Polisi inabambikizia Watu kesi na Wala rushwa na Wanapeleleza chini wa Viwango. Basi siku zinaenda Maisha yanaendelea Watu wanatumbuliwa Jambo linarotate Tena Panya road wanapora Tena wanakamatwa wanapelekwa court Wananchi tukiitwa kutoa Ushaidi hatuendi Watuhmiwa wanaachiwa Tena tume inaundwa Tena Basi siku zinaenda mpaka tunazeeka.Ngoja nitoke kwenye mada kidogo,
Kawe Kuna shida Gani?juzi tulisoma vichaka tanganyika packers, kipindi Cha nyuma pia tulisoma mambo ya kawe.Nani mwenye dhamana na hafanyi kazi yake?
Wazo langu Kwa wambura, askari wote Kawe wahamishwe wapelewkwe askari mmoja Kila kituo ili wasianze mambo Yao ya ajabu. Askari wapywa vituon wawe wapya. Na mashaka kawe Kuna dili ndio maana Kuna shida.
Kuna kipindi wakati makonda alikuwa mkuu wa mkoa wa Daresalaam alikiandama kituo cha buguruni. Malalamiko yalikuwa mengi mno mpaka Sijui ocd au ocs akahamiahwa alikuwa anaitwa kasikana sasa hivi yupo kituo Cha urafiki.
Kawe Kuna shida sio bure. Kuna kipindi miili ilikuwa inaokotwa. Au askari ni waoga wanaowaogopa kundi maalum la watu Kwa maumivu ya raia?
Askari fanyeni kazi yenu msilete taharuki ambazo zinaweza kutulizwa Hali ikawa shwari.
Na siyo watakuja huwa most areas hapa Dar wanachanga lakini hamna kinachofanyika
ni kweliWanakamata vibaka wanawapeleka court Ila Mashaidi hawaendi kutoa Ushaidi Mahakama inawaachia Watuhiwa kisha Mama anaunda tume ya haki Jinai Kwanini Serikali unashindwa kesi nyingi Mahakamani Jibu linakuja kuwa Polisi inabambikizia Watu kesi na Wala rushwa na Wanapeleleza chini wa Viwango. Basi siku zinaenda Maisha yanaendelea Watu wanatumbuliwa Jambo linarotate Tena Panya road wanapora Tena wanakamatwa wanapelekwa court Wananchi tukiitwa kutoa Ushaidi hatuendi Watuhmiwa wanaachiwa Tena tume inaundwa Tena Basi siku zinaenda mpaka tunazeeka.
Poleni Sana Wahanga wa.Uhalifu huu .Wahalifu wanaleta umaskini wanaleta Ulemavu na Wanasababisha kifo.
Wale vijana wapiga mapanga usiku maarufu kama panya Road wameibukia Bunju ambapo Jumamosi iliyopita walitinga Bunju B mitaa ya KIHONZILE na kuumiza watu zaidi ya 8 na kuiba vitu kadhaa zikiwepo TV na simu za mikononi na fedha.
Tukio hilo ambalo halikutangazwa popote kutokana na OCD wa Kawe kulifunika na hivyo wananchi kutopata habari na kujiweka ktk tahadhari limepelekea usiku wa kuamkia leo panya road wameibukia mitaa ya maarufu kama kwa Mama Munuo na kuendeleza ubabe huohuo.
Katika matukio yote mawili Polisi walipigiwa simu ila hawakupokea na pia Polisi wa dharura wanaokaa maeneo ya barabarani walipofuatwa hawakuwepo eneo hilo.
Tunaomba Serikali kupitia Bunge lake linalofanya vikao vyake kijini Dodoma kwa dharura wajadili kadhia hii siku ya leo na kupeleka askari wa kutosha eneo hilo.
we acha hujui kitu.Sasa OCD wa Kawe anahusikaje Bunju? Maeneo hayo mlipaswa kuwasiliana na OCD wa Mabwepande....
Watu wenye akili za kihalifu huwa wanajitahjdi kupibdisha mada.we acha hujui kitu.
OCD kawe ndo wa hadi Bunju. kituo chake ni mbweni.
Naona aibu kubishana na watoto....we acha hujui kitu.
OCD kawe ndo wa hadi Bunju. kituo chake ni mbweni.
Walimu wakikaza kurekebisha tabia za Wanafunzi mnawafukuza kazi na jela Mnawapeleka Toto linakuwa linapinda kwa viwango vya lami Polisi akitumia nguvu kupambana na Uhalifu wanaingia kwenye kundi la Wakatili na Unyanyasaji Wakitumia Sheria Wananchi hawaendi utoa Ushaidi aaaaahaaa Basi Maisha yanakwenda . Bunju Ile ile iliyochoma Moto kituo Cha Polisi sababu Polisi walimweka MAHABUSU dereva aliyegonga Mtu kwa Gari na Wananchi wa Bunju wakataka Mtuhumiwa atolewe nje auwawe Polisi walipogoma wakachoma Moto kituo na Magari yote yaliyopata ajali na vizubiti vingine.Watu wenye akili za kihalifu huwa wanajitahjdi kupibdisha mada.
Polisi ni shida huko inajulikana miaka yote