Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Serikali ya Magufuli ni sawa na panya aliye jifungia kwenye chungu na kuunguruma kama simba kwa sababu anajua akionekana atadharauliwa sana.
Ndio maana kitu kidogo wanaenda kwa press.
Ukweli ni kwamba serikali hii inafanya maigizo mengi ili ionekane ina meno wakati kiukweli haina meno kabisa na ni waoga sana.
Juzi tumeona pm akiita vyombo vya habari kutaja mawaziri ambao hawaja rudisha fomu tume ya maadili kitu ambacho wengi kimewashangaza kwani angeweza kuwaita au kuwapa onyo hukohuko ofisini kwao na mawaziri wakaendelea kuchapa kazi. Kama sio woga ni nini?
Vituko kila siku haviishi, mawaziri wanafuatilia hadi vitu ambavyo havihitaji wao kuvifanya. Naunga mkono mbunge aliye sema serikali hii ni ya mizuka na mikurupuko. Juzi waziri ameenda kuifunga phamarcy moja temeke, kuna phamacy ngapi tz?
Serikali hii imejimbambanua kama ni serikali inayo fuata misingi ya sheria kama vile ilipo amua kubomoa nyumba za maskini kwa kigezo eti wamejenga kinyume na sheria wakati huo huo ikashindwa kubomoa baadhi ya nyumba za wenye fedha maeneo ya mikocheni. Sheria ipo inafuatwa?
Kama serikali inafuata sheria kwanini Rais asimfukuze Simbachambwe kwa kushinwa kusimamia swala la umeya wa Dar? Kwanini uende mtwara kutafuta majipu wakati majipu yamejaa tere hapa dar? Je tukiita huu ni unafiki mtatuachaje?
Nauhakika vurugu hizi zimepata baraka ya ikulu. sina hakika kama simbachamwene hizi vurugu hazioni na pengine zinamkera ila kwa sababu fujo za kitoto za ccm zimepata baraka ya ikulu basi waziri hawezi kufanya lolote. Nani karuhusu police kuwakamata ukawa?
Kama simbachamwene na wewe unafukuza wafanyakazi wasio fanya kazi zao vizuri basi mfukuze kwanza kaimu mkurugenzi wa jiji kwa kugushi barua ya mahakama tena mahakama ya kisutu. Juzi nimekuona tandale unazurura eti soko chafu, nani asimamie wakati meya hayupo? Ivi kweli simbachambwene upo serious na kazi yako?
Tanzania ni ileile chini ya ccm, itawezekane mtu asome barua ya mahakama ya kugushi kuwa mahakama imetoa amri ya kusitisha uchaguzi na akaendelea kudunda mitaani?
Nani afuate sheria kama wanao simamia sheria ndio wavunjaji wakubwa wa sheria?
Nani atafuata sheria kama police walio na wajibu wa kuhakikisha watu wanafuata sheria wao ndio vinara wa kuvunja sheria ?
Nani atadhubutu kuelewa kuwa serikali ina dhamira ya kweli ya kuleta mabadiriko kama ikulu yenyewe haina dhamira ya kweli ya kubadirika ?
Serikali ambayo ipo kwajili ya kujinufaisha kamwe haitafanikiwa?
Mbaya zaidi ikulu inajiona yenyewe ndio Mungu mtu hata mawaziri wamefika mahali na kudharauliwa kama watu wasio na maana kabisa.
kuna shida kubwa Tanzania
Hapa tabutupu.