Panapo Tume Huru, Lissu akisimama na Mkulu wa sasa, Mkulu akijitahidi sana atapata asilimia 35 tu ya kura zote

Labda kama unaongelea Urais wa TLS....lakini kama ni Urais wa taifa basi mna mpotosha ikiwezekana mwambieni agombee msijifiche nyuma ya tume huru maana hata nyingi mna wabunge waliotokana na hiyo mnayoiita tume siyo huru
Sasa kwa upeo wako mdogo na uliopigwa ganzi na Ccm unaona ile ni tume huru, hata hivyo sikushangai sana maana ukiwa Ccm hata hata ukiona mavi na bado watu wakakwambia kuwa yale ni mavi bado Utalazimisha kuwa ile keki tena kwa msisitizo utaongezea kuwa ni tamu sana.
 


Unasahau kura anahesabu Mkulu chini ya Tume aliyoichaguwa mwenyewe kujipa kula?? Hata aje malaika hali itakuwa hiyo hiyo ya goli la mkono
 
Wewe haupo Tanzania hivyo hujui kinachoendelea on the grass root. Unaishi maisha ya dhahania na hujui chochote. Kwa taarifa yako, CCM ipo juu kupita kipindi chochote, na Dr Magufuli anapendwa na hao grass root na wasomi wote, kila mtu anamshukuru Mungu kwa JK na jopo lake kumleta Dr Magufuli. Pole sana, tukutane 2025, maana Dr Magufuli na CCM mpaka 2025 wapo na ndipo ninyi wapinzani mtajifikiria, ingawa najua mtafeli tena maana hamna sera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…