Haaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,fikiria hao akina dada wangekuwa pale uwanja wa Abajaro Sinza au pale kwenye timu ya Ashanti Ilala huo mtafuruku ungekuwaje,hao akina dada hata mvuta bangi akiambiwa aache kuvuta bangi ili unishumu ataacha,du bonge la mfereji wa Suez,meli inapita kwa ulaiiniHii timu i ngekuwa kwetu,uwanjani pangekosa mahali pa kutema mate.
mkuu let google speak click hapa panama cricket team girls - Google Search
Asante mkuu.......bado sijawaona wakicheza....na bado wamevaa lezi namba sawa
Ubalozi wa Somaliawalaaahiii.hivi viza za huko tunapatia wapi ?
Yani mimi napenda sana huu mchezoHawa ni cheer leaders......wachezaji watakuwaje na jezi yenye namaba sawa (2)?
Yani mimi napenda sana huu mchezo
Hii timu i ngekuwa kwetu,uwanjani pangekosa mahali pa kutema mate.