S shimwa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 1,907 Reaction score 1,439 Mar 30, 2018 #1 Samahani nisaidiwe kupata pampu ya sola yenye uwezo wa kuvuta maji umali wa mita 100 yenye ujazo wa inch 1¼ na kutoa inchi moja no kiasi gani
Samahani nisaidiwe kupata pampu ya sola yenye uwezo wa kuvuta maji umali wa mita 100 yenye ujazo wa inch 1¼ na kutoa inchi moja no kiasi gani
Ngatiani JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 412 Reaction score 470 Apr 1, 2018 #2 shimwa said: Samahani nisaidiwe kupata pampu ya sola yenye uwezo wa kuvuta maji umali wa mita 100 yenye ujazo wa inch 1¼ na kutoa inchi moja no kiasi gani Click to expand... Mimi nipo mpakani na Malawi huku lakini nakumbuka maduka mawili makubwa ya wachina , jaribu hapo unaweza kupata. Jaribu UFI na makutano ya Bibi Titi/Morogoro road kuna duka la wachina upande wa kulia ukitokea Ubungo.
shimwa said: Samahani nisaidiwe kupata pampu ya sola yenye uwezo wa kuvuta maji umali wa mita 100 yenye ujazo wa inch 1¼ na kutoa inchi moja no kiasi gani Click to expand... Mimi nipo mpakani na Malawi huku lakini nakumbuka maduka mawili makubwa ya wachina , jaribu hapo unaweza kupata. Jaribu UFI na makutano ya Bibi Titi/Morogoro road kuna duka la wachina upande wa kulia ukitokea Ubungo.
S shimwa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 1,907 Reaction score 1,439 May 6, 2018 Thread starter #3 Asante ndugu nutauliza