Pharm D
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,238
- 3,020
Wapendwa nahitaji kufanya biashara ya bidhaa nilizotaja hapo kwenye title huku mkoani kwa jumla na rejareja...
Msaada ninaohitaji ni kupata supplier, nimejaribu kuzunguka kkoo lkn kila ninakoelekezwa nakutana na bei za rejareja ambazo ndizo wanazouzia madukani, nimepata ukakasi sana kuassemble mzigo imebidi nipause kwanza kidogo nikijitafakari.
Kwa anaefahamu reliable supplier wa hizi mambo naomba connection wakuu nikapambane kianaume.
Kila kitu tayar nimekwamia hapo tuu