johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,028
- 142,088
Mmempige risasi bado awapende. Lisu anaipenda nchi, Rais siyo nchi, hata kidogo! Rais ni mtumishi wa nchi, Tundu anaipenda nchi yake, inawezekana hapendi udikiteita unaotawala nchi hii. Lisu hajasema njoo muitawale Tanzania, hata kidogo. anakemea kuua watu! Hilo ni lazima John ulijue!Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.
Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.
Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.
Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.
Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.
Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli,inampasa aseme nimeshambuliwa nikiwa porini,halafu bunge linanihudumia gharama zote,nkNamkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.
Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.
Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.
Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.
Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.
Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Ubongo wako umejaa matope , lisu amekufanya nini we mwanamke, unatabia za kishoga kila siku lisulisu hivi unajisikiaje kutajataja jina la mume wa mtu kila siku, sio bure utakawa na tatizo kichwani, ebu tufundishie watoto acha ujinga mwalimu yohanaNamkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.
Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.
Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.
Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.
Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.
Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Uzalendo kwako unaitafsiri vipi maana kila leo mnashupalia uzalendo uzalendo...!Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.
Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.
Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.
Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.
Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.
Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Mijitu ya ajabu sana nyie yaani awe mzalendo kwa mashetani yaliyotaka kumuua?Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.
Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.
Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.
Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.
Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.
Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Mwanasiasa lazima uwe na ngozi ngumu.....by Sitta!Mijitu ya ajabu sana nyie yaani awe mzalendo kwa mashetani yaliyotaka kumuua?
Shetani pekee ndo anayeweza kuandika ujinga hhuu
Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.
Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.
Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.
Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.
Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.
Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Acha kuongea pumba, kwani kuna ubaya gani jamii ya kimataifa ikiyajua mambo yanafanyika hapa nchini kwa undani ?, yaani mmempiga risasi halafu mnataka aendelee kujikomba kwenu eti uzalendo !!, Bunge kwa maelekezo ya serikali wamezuia stahiki yake ya gharama za matibabu halafu unataka aseme mazuri yepi ya kwenu ?, anawaambia jamii ya kimataifa ambao ndio hao wanaosaidia kufanikisha bajeti yenu kwa sababu wao wanaamini katika utawala wa sheria na sio tawala za kidicteta, nadhani mkikosa wawekezaji ndio akili itawakaa sawa, mkikosa watalii huenda akili itawakaa sawa, mkishindwa kufanya biashara za kimataifa ndio akili itawarudi, acha aseme madudu yenu yoote, mnabaka uhuru wa vyombo vya habari, mnahujumu uhuru wa vyama vya siasa kwa sababu tu vinakosea serikali hii dhalimu, acheni watu waseme wanapopata nafasi ya kusema kwa sababu hilo pekee linasaidia kuondo sumu ambayo mtu aweza kuwa nayo moyoni mwakeNamkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.