johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.
Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.
Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.
Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.
Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.
Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!