Pamoja na yote yaliyomsibu ikiwemo kutelekezwa na bunge Tundu Lisu bado anapaswa kuwa mzalendo anapoongea na Media za nje!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,208
2,000
Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.

Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.

Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.

Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.

Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.

Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,890

Mmempige risasi bado awapende. Lisu anaipenda nchi, Rais siyo nchi, hata kidogo! Rais ni mtumishi wa nchi, Tundu anaipenda nchi yake, inawezekana hapendi udikiteita unaotawala nchi hii. Lisu hajasema njoo muitawale Tanzania, hata kidogo. anakemea kuua watu! Hilo ni lazima John ulijue!
 
Koko Mbwana

JF-Expert Member
Feb 17, 2018
329
500
Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.

Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.

Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.

Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.

Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.

Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Ni kweli,inampasa aseme nimeshambuliwa nikiwa porini,halafu bunge linanihudumia gharama zote,nk
 
Dr Programmer

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
312
500
Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.

Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.

Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.

Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.

Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.

Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Ubongo wako umejaa matope , lisu amekufanya nini we mwanamke, unatabia za kishoga kila siku lisulisu hivi unajisikiaje kutajataja jina la mume wa mtu kila siku, sio bure utakawa na tatizo kichwani, ebu tufundishie watoto acha ujinga mwalimu yohana
 
Tumbo

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
284
500
Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.

Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.

Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.

Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.

Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.

Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Uzalendo kwako unaitafsiri vipi maana kila leo mnashupalia uzalendo uzalendo...!

Kwani kuunga juhudi za mainterahamwe ndio uzalendo huo, mwenye mtazamo tofauti na jiwe mnamuita msaliti, anatumiwa na mabeberu, hizi akili mnazitoa wapi nyie miccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jabulani

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
4,301
2,000
Mumlaumu aliyepiga risasi 38 na kushindwa kutoa roho.
Mumlaumu aliyetoa amri risasi zitumike.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
17,668
2,000
Kipi kikubwa uhai wako au uzalendo?

Katiba imekupa haki ya kupigania uhai wako.

Haijakupa haki ya kupigania uzalendo.

Nafikiri ilichosema katiba ndiyo kikubwa.
 
Betoratekha

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
327
1,000
Mnataka wenzenu waweke mbele uzalendo huku nyinyi mmeweka mbele dushelele zenu...nyambafu kweli
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,819
2,000
Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.

Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.

Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.

Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.

Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.

Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Mijitu ya ajabu sana nyie yaani awe mzalendo kwa mashetani yaliyotaka kumuua?
Shetani pekee ndo anayeweza kuandika ujinga hhuu
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
21,551
2,000
Ila Bavicha wamshauri bosi wao asiwe ananyoa kiduku. .anajiaibisha..Maana anakua anashindana na wasafi sasa..
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
23,921
2,000
Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.

Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.

Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.

Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.

Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.

Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM. Tulieni dunia ijue udhalimu wenu. Lissu kanyaga twende waliyataka wenyewe.
 
Coaster2015

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,146
2,000
Namkumbusha tu mdogo wangu Tundu Antipas Lisu kwamba anapoongea na mefia za nje ajaribu kuwa mzalendo.

Naelewa kabisa machungu anayoyapitia lakini si kila kitu lazima ukiseme hadharani tena ukiwa nje ya nchi.

Fikiria mustakhsbali wa uwekezaji wetu, utalii wetu lakini pia biashara zetu za kimataifa.

Serikali unayoinanga ndio hiyo inayokulipa stahiki zako hadi sasa na ndio hiyo ilikuja hadi Nairobi kukujulia hali.

Yawezekana mna tatizo bungeni lakini hilo halihalalishi wewe kuushambulia muhimili mwingine usiohusika.

Lisu weka uzalendo wa nchi yetu mbele
Maendeleo hayana vyama!
Acha kuongea pumba, kwani kuna ubaya gani jamii ya kimataifa ikiyajua mambo yanafanyika hapa nchini kwa undani ?, yaani mmempiga risasi halafu mnataka aendelee kujikomba kwenu eti uzalendo !!, Bunge kwa maelekezo ya serikali wamezuia stahiki yake ya gharama za matibabu halafu unataka aseme mazuri yepi ya kwenu ?, anawaambia jamii ya kimataifa ambao ndio hao wanaosaidia kufanikisha bajeti yenu kwa sababu wao wanaamini katika utawala wa sheria na sio tawala za kidicteta, nadhani mkikosa wawekezaji ndio akili itawakaa sawa, mkikosa watalii huenda akili itawakaa sawa, mkishindwa kufanya biashara za kimataifa ndio akili itawarudi, acha aseme madudu yenu yoote, mnabaka uhuru wa vyombo vya habari, mnahujumu uhuru wa vyama vya siasa kwa sababu tu vinakosea serikali hii dhalimu, acheni watu waseme wanapopata nafasi ya kusema kwa sababu hilo pekee linasaidia kuondo sumu ambayo mtu aweza kuwa nayo moyoni mwake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom