Dube laini mno mdauKiukwel umenena kaka ,Simba inahitaji maboresho madogo sana ili kuwa fit mara dufu , toa wafuatao hapo simba
Mugalu
Wawa
Mkude
Ajibu
Leteni mashine mpya kabisa mfano hawa wafuatao
Dube
Juma wa As vita
Na Ambao wengine mtakao ona wanafaa hasa mjipange mlete foward mbili ambazo sio za kuunga unga ,leten beki wawii wa maana wa kati mkifanya hivyo biashara kwisha .
Ila chonde chonde Simba isije jaribu kuwauza au kuachana nao wafuatao.
Morrison
Bwalya
Chama
Konde boy.Hawa ndio injin ya Simba ,pia Simba wasije leta ujinga wa kuachana na huyu kocha Da Rosa ,ni bonge moja la kocha ikiweaekana wamuongeze salary kabisa jamaa ni fundi mno ,Narudia Tena wasijekwazana kabisa na huyu kocha anatutosha huyu mbaba tukomae nae kwenye shida na raha ipo siku atakuja tuletea kitu ambacho hatukuwah fikiria kukipata hivi karibun
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AAAGH, hizo ni match hazina deal. Nadhani yanga sio timu tena kwa simba. Simba anatakiwa kuwa na washindani kama Ahly, Focus iwe huko. Sisi UTOPOLO kazi yake ni MDOMO kama watu wa MSOGA
Kama Yanga walimfukuza Molinga huyo Mugali atakaa kiti gani pale benchi..?Yanga ndio timu isiyokuwa na FOCUS. Mara ya mwisho kucheza Robo fainali ni lini.
Nadhani MUGALU level yake ni YANGA sio SIMBA
Kapombe game ilimkubali sana.
Kila nikimwona Mugalu kwenye First 11, roho huwa inaniuma sana.
Hakika kabisaaahKiukwel umenena kaka ,Simba inahitaji maboresho madogo sana ili kuwa fit mara dufu , toa wafuatao hapo simba
Mugalu
Wawa
Mkude
Ajibu
Leteni mashine mpya kabisa mfano hawa wafuatao
Dube
Juma wa As vita
Na Ambao wengine mtakao ona wanafaa hasa mjipange mlete foward mbili ambazo sio za kuunga unga ,leten beki wawii wa maana wa kati mkifanya hivyo biashara kwisha .
Ila chonde chonde Simba isije jaribu kuwauza au kuachana nao wafuatao.
Morrison
Bwalya
Chama
Konde boy.Hawa ndio injin ya Simba ,pia Simba wasije leta ujinga wa kuachana na huyu kocha Da Rosa ,ni bonge moja la kocha ikiweaekana wamuongeze salary kabisa jamaa ni fundi mno ,Narudia Tena wasijekwazana kabisa na huyu kocha anatutosha huyu mbaba tukomae nae kwenye shida na raha ipo siku atakuja tuletea kitu ambacho hatukuwah fikiria kukipata hivi karibun
Mie sijawahi kumuelewa hata yaan.Kapombe game ilimkubali sana.
Kila nikimwona Mugalu kwenye First 11, roho huwa inaniuma sana.
Nani kati ya hao niliowataja?Mie sijawahi kumuelewa hata yaan.
Yaan leo katukosesha ushindi huyu Mugalu, khaaaahMugalu ni TAKATAKA
Mugalu, mie huyu hata sijui kawapa nn simba maan tangu viongozi had mashabiki wengi wanamkubali, ila uhalisia ni hovyo tyuuj. Aaaaah yaan kaniudhi leo,Nani kati ya hao niliowataja?
Huyo ni Timo Werner.Dube laini mno mdau
Ongea kwa sauti ya chini ili Onyango asikusikie ukimuita Kisinda takataka.Mbona mliweza kuchukuaa takataka za As Vita. Sasa Simba na Vita ipi timu bora ?
Itakuwa ndumba, kifupi hana kitu yule.Mugalu, mie huyu hata sijui kawapa nn simba maan tangu viongozi had mashabiki wengi wanamkubali, ila uhalisia ni hovyo tyuuj. Aaaaah yaan kaniudhi leo,
Kisinda made him kiss them Grasses!Onyango ni BEST