Pamoja na utandawazi kuenea lakini bado kuna watu wananunua antivirus, windows, software za kwenye CD madukani

Unaposema hutoweza kununua softwares kwa developers unakua unakosea sana. Developers wanakutegemea wewe ili software iendelee kuwepo na ubunifu zaid. Sasa mnapotumia cracks mnawafelisha sana. Mfano kampuni ya Sony walikuwa wanatengeneza software ya Vegas Pro, Baada ya kuona faida ni ndogo, Cracks zinekuwa nyingi na developers kuwalipa ni ishu wakaona bora waiuze software brand yote kwa kampuni nyengine, Sasa inaitwa Magix Pro.
hiyo ndio changamoto ya utandawazi hauwezi kuwa shujaa bila adui

developers wanaoweza kutoboa kwenye hizi zama hao ndio ma fighters
 
Shukrani mkuu,kwa hiyo hizo keys niziingize kwenye kaspersky ya kawaida?
hiyo haina keys, hiyo una activate kwa kutumia hiki ki file
1612377429583.png
 
Cheki mshamba huyu.
Sio "salama" utadhan ana-very confidential & critical information kwenye computer yake.
Zaidi ya copy za vyeti na CV, unakuta kajaza movies tu.
Yaani hii hoja nayo ni yakushangaza sana, unakuta mtu pc yake kajaza series tu na virtual dj kwa ajili ya ku play singeli halafu naye anakuja ku criticize cracks kwamba sio salama hivyo ana prefer paid software
 
Mimi miaka yotee natumia pirated and cracked software lakini sijawahi pata shida yoyote.

Wewe ulikutwa na nini mpaka useme hivyo?
hapo chini umeuliza swali lamsingi sana, ni information gani ziliibiwa au password za account ya bank gani zilichukuliwa na ulipata hasara ya bei gani kiasi uone crackers ni unsafe

nataka watoe experience zao na sio kusimulia effect zilizoandikwa kutoka kwenye sites za ma developers ambao wanatafuta ulaji kwa kupandikiza dhana ya kuogofya ili mradi watu wanunue softwarezao
 
Kuna mmarekani alikuja home akamkuta jamaa anaistall Ms office ya 2007 kwny laptop nayeye aliazima kwa mshkaji mwingine

Yule Mzungu akashangaa sana kusikia tunashare software kienyeji tu na hakuna mamlaka ya kutukataza
huyo mmarekani yani kushare software tu kulimfanya ashangae....ama kweli anashangaza

je angeona matozi wa mtaa wanaovyo share pamba je?
 
Hizi cracks kuna wakati kweli huwa msaada na kuna wakati huwa kilio kwa mtumiaji.

Cracker anawezatengeneza hiyo kitu akiwa na lengo zuri na ikawa msaada kwa yule asiyeweza ama asiyetaka kununua genuine software.

Sasa shida huja pale ambapo wale jamaa wa ku-inject malwares na adwares wanapoichukua hiyo crack na kui-modify kwa kuiwekea codes mbaya ambazo ukianza kuitumia tu hiyo crack hizo codes zina-run na kuanza kufanya kazi alizozikusudia huyo mtu mbaya.

Hapo sasa tunapata cracks mbili zenye jina moja zikidhaniwa kuwa ni ileile ya awali, kumbe moja ni salama na nyingine si salama kwa mtumiaji.

Sasa kilio kitakufika siku ukikutana na crack iliyowekewa codes za ku-encrypt files zilizomo kwenye PC yako ingawaje hizo codes zaweza patikana mahali pengine ambapo siyo kwenye crack.

NB: Kumbuka kwamba nyingi za cracks ili uzitumie mpaka u-disable antivirus na hapo ndipo panapopatikana fursa ya ku-run zile codes mbaya wakati mlinzi wa PC yako unapokuwa umemsinzilisha mwenyewe kwa mikono yako.

Ni juu yako sasa jinsi unavyochukulia uzito wa kuilinda pc yako na data zako.
Kama hakuna cha maana humo go with cracks na kama kuna cha maana humo basi na kikuhusu wewe mwenyewe.

Ila sidhani kama kuna mahali ndani ya hii 'siledi' nimezuia mtu asitumie cracks.
Hata mimi ninazo kibao tu.

Sent from my cupboard using mug
 
CRACK & PATCH FOR LIFE.
 
Mimi kitu ninachoogopa ni kutumia antivirus iliyocrakiwa labda nipate license key yake hapo angalau.

Siku za hivi karibuni nilidownload Malwarebytes ikiwa na 14 days of trial ili angalau isaidiane na windows defender.

Kwa kweli niliifurahia ingawaje niliwahi kuitumia kipindi cha miaka ya nyuma pia nikaipenda.

Sasa trial ilivyoisha nikatafuta key zake lakini system za malwarebytes zikasema hizo key ziko blacklisted nikajaribu kuzisaka bila mafanikio.

Kilichofuata nikatafuta mbadala wa malwarebytes ambayo pia niliwahi kuitumia kipindi cha nyuma. SuperAntiSpyware

Basi nikatafuta key zake nikaingiza nikaiupdate ikaleta majibu kwamba key nilizotumia counts yake imekuwa exceeded. Basi ikajiswitch kwenda free version, nikarudia tena kuziweka kitu kikaitika na kuwa LIFETIME Professional Subscription.

Hiyo yote ni kukwepa antivirus iliyocrakiwa. Ila soft zingine zilizo cracked huwa natumia.

Sent from my cupboard using mug
JPEG_20210204_094500_-1716931710.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Pep

View attachment 1693974
Mzee hizo keys ulilipia au ulizipata kwenye sites zimewekwa bure tu?

Mkuu kama hukulipia hizo keys umezikuta tu kwenye blogs/sites na sio official site ya software husika halafu umepata lifetime licence hapo bado uko kwenye circle ya cracking
 
N
Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.

Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao

Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile licence zinagoma so mchizi kapigwa

Technolojia inakua kila kukicha na saizi hatuko kwenye soko la CD tena kulinganisha na miaka ya nyuma. Na ndio maana PC latest hata mlango wa CD nowdays haziwekwi. Kama antivirus unataka kununua unaweza uka request licence kwenye official website ya antivirus husika tena kwa bei nzuri (japo mimi hii pia nayo sikubaliani nayo)

Nishajiwekea kiapo kwamba katika huu ulimwengu wa tech wenye manguli wakucheza na cracking software sitokuja kulipia software yeyote

Au hadi humu namo kuna watu wenye spirit hiyo ya kuamini bidhaa za kwenye maduka za mfumo wa CD ni bora zaidi na kuzidharau hizi za mtandaoni?
Nyie ndo ma hackers
Eti cracking softwares....huo ni wizi
 
CD kwenye cover imeandikwa 2020-2021 lakini code licence hazikubali nadhani hii ilikua target mwezi wa 12 mwaka jana halafu ije ifikie kikomo mwezi huu

mimi sikumbuki mara ya mwisho kununua hizo CD ilikua lini, hapa nina kaspersky ya mwaka mzima na inapiga kazi fresh haijawahi kuzingua na huu ni mwaka saizi tangu niitumie

kwangu mimi mzee crack nimezipa kipaumbele sana na bado nazipa immunity kua ni salama (talking from my personal experience) mfano kama windows nimekua nikipakua online na hazijawahi niletea makuzi lakini nilishangaa siku oja niliazima CD ya windows kwa msela nilivyopiga baada yamiezi miwili ikawa inaniletea black screen (windows is not genuine)
Hizo crack mnazipata wapi?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mzee hizo keys ulilipia au ulizipata kwenye sites zimewekwa bure tu?

Mkuu kama hukulipia hizo keys umezikuta tu kwenye blogs/sites na sio official site ya software husika halafu umepata lifetime licence hapo bado uko kwenye circle ya cracking
Pamoja na hiyo, key haiwezi kufanya uharibifu wala kuiba data labda kama unamaanisha keygen (key generator)

Sent from my cupboard using mug
 
Unachanganya kati ya umasikini na utandawazi, nyie bongo hamnunui original software ni kwa sababu masikini torrent zinawaokoa.

USA simu yako ama laptop maafisa wakiikutwa na torrent app mzee Miez 6 inakuhusu Jela, No bail.
Kiuhalisia uzi ulitakiwa uishie hapa.
 
Aliyekuambia matumizi rough ya pesa ni icon ya utajiri nani?

Ushawahi yaona magari ya Mo ya viwandani kwake yalivyo? Unaweza fananisha na magari ya baharesa?

Bila shaka hauwezi ni kwasababu magari ya Mo yanaonekana kuchoka na pia ni kama yana fanana na powertiller hayalingani na sifa ya jamaa

Sasa jiulize inamaana Mo ni masikini mpaka anazidiwa na baharesa kwenye ubora wa magari ambayo yanamsaidia kwenye uzalishaji?

Matumizi rough ya pesa kwa namna nyingune yanaweza kuonesha ni ushamba wa kitu fulani, au ukosefu wa mipango au maarifa juu ya kitu hicho

Kuna mtu alikua anajinadi kua yeye ni mkwasi kanunua kitu chenye thamani ya 1M nakuwasshusha wengine kwamba wanauwezo mdogo kulingana na kipato chao. nikamwambia umepigwa maana hiyo product bei yake halisi haizidi laki 5 akabisha nikampeleka mpaka wanakouza lakini kwasababu hakutaka kuonekana mshamba kua kaingizwa chaka ikabidi atumie kauli ya kusema "ni umasikini tu ndio unaokufanya uhangaike kutafuta vyenye bei rahisi"

So mwanzo jamaa alijua ni ufahari kununua vitu vyenye gharama bila kuangalia nje na hapo upatikanaji wa hicho kitu kinapatikana kwa bei hiyo
Mkuu mimi sijaelewa hapo. Yaani kwa mfano mimi ni mpenzi wa Fl Studio natoa hela yangu mfukonu nalipia leseni nitumie ili nifanikishie kazi zangu inakuaje matumizi mabaya ya fedha?

Au tuseme kuna kiatu nimekipenda basi nikiibe ili nisave pesa?!

Sio kwamba situmii Cracks, natumia sana. Vile tu mambo hayajakaa sawa ila naamini ntaachana nazo tu. Kama umepitia programming hata kwa ufupi utagundua hawa jamaa hawastahili tunachowatendea.
Hatukatai tunaishi kwenye ulimwengu wa dhambi ila inapotokea umepata nafasi ya kumfurahisha Mungu itumie vizuri.

Anyway jaribu kupitia kwa hawa ndugu zetu wa quora wamediscuss vizuri tu madhara ya cracked software.

Hata mimi natumia windows defender na toka nimenunua PC sijapata tatizo kabisa huu mwaka wa 3.
Mimi hiyo defender nimeidisable kabisa. Kazi zangu hazipati na Ma-antivirus.

Ile chunga sana usikutane na njemba zinazoitwa Ramsoware utakuja kusimulia.
 
Unaposema hutoweza kununua softwares kwa developers unakua unakosea sana. Developers wanakutegemea wewe ili software iendelee kuwepo na ubunifu zaid. Sasa mnapotumia cracks mnawafelisha sana. Mfano kampuni ya Sony walikuwa wanatengeneza software ya Vegas Pro, Baada ya kuona faida ni ndogo, Cracks zinekuwa nyingi na developers kuwalipa ni ishu wakaona bora waiuze software brand yote kwa kampuni nyengine, Sasa inaitwa Magix Pro.
Watu hawajui tu hizi Ms Office, Windows, Adobe n.k zipo kwa sababu kuna wachache wananunua. Lakini cha ajabu zaidi wanasimangwa eti.
 
Back
Top Bottom