Pamoja na utandawazi kuenea lakini bado kuna watu wananunua antivirus, windows, software za kwenye CD madukani

Sio kununua tu CD ata wewe ambae una download Antivirus unaonekana bado mshamba..kuna njia 1 matata sana ya kuuwa virus zote bila software sema suu nkupe iyo njia
Unasound kana kwamba Virus anaemsumbua Juma ndo anaemsumbua Shakira. Hujakutana na virus bado.
 
Mimi hiyo defender nimeidisable kabisa. Kazi zangu hazipati na Ma-antivirus.

Ile chunga sana usikutane na njemba zinazoitwa Ramsoware utakuja kusimulia.
Nilishawahi kukutana nayo bwana kuna fala flani humu aliwahi upload file kwenye jukwaa hili akasema ni software ya kuwatch netflix bure kumbe ni ransomware, dah nikaidownload nikaisntall nikaona hakuna kitu, baada ya muda ikaanza mambo yake na ku encrypt document zangu zote.
 
Aliyekuambia matumizi rough ya pesa ni icon ya utajiri nani?

Ushawahi yaona magari ya Mo ya viwandani kwake yalivyo? Unaweza fananisha na magari ya baharesa?

Bila shaka hauwezi ni kwasababu magari ya Mo yanaonekana kuchoka na pia ni kama yana fanana na powertiller hayalingani na sifa ya jamaa

Sasa jiulize inamaana Mo ni masikini mpaka anazidiwa na baharesa kwenye ubora wa magari ambayo yanamsaidia kwenye uzalishaji?

Matumizi rough ya pesa kwa namna nyingune yanaweza kuonesha ni ushamba wa kitu fulani, au ukosefu wa mipango au maarifa juu ya kitu hicho

Kuna mtu alikua anajinadi kua yeye ni mkwasi kanunua kitu chenye thamani ya 1M nakuwasshusha wengine kwamba wanauwezo mdogo kulingana na kipato chao. nikamwambia umepigwa maana hiyo product bei yake halisi haizidi laki 5 akabisha nikampeleka mpaka wanakouza lakini kwasababu hakutaka kuonekana mshamba kua kaingizwa chaka ikabidi atumie kauli ya kusema "ni umasikini tu ndio unaokufanya uhangaike kutafuta vyenye bei rahisi"

So mwanzo jamaa alijua ni ufahari kununua vitu vyenye gharama bila kuangalia nje na hapo upatikanaji wa hicho kitu kinapatikana kwa bei hiyo
Nnekwambia ni umasikini tu ndio unaleta mambo mengi, Mo ni masikini ndio maana ana mambo ya kimasikini hata wafanyakazi wake wanalipwa mishahara ya kimasikini nenda migodini uone truck zao wanazo fanyia kazi na mazingira ya kazi ndio utaelewa nini na maanisha
 
Hapa tunaweza tukawa tunabishana kwasababu ya kila mtu anavyo u define umasikini

Bilionea wa kwanza afrika mashariki na kati ambaye hadi forbes ametangazwa anashika nafasi ya 13 kwa afrika leo hii ni masikini?

Mishahara ya kimasikini inaanzia shingapi?
 
Samahani na tumia IDM (internet download manager) kwenye pc ss inataka key product mwenye maujanja hapo mafund msaada basi
 
Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.

Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao

Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile licence zinagoma so mchizi kapigwa

Technolojia inakua kila kukicha na saizi hatuko kwenye soko la CD tena kulinganisha na miaka ya nyuma. Na ndio maana PC latest hata mlango wa CD nowdays haziwekwi. Kama antivirus unataka kununua unaweza uka request licence kwenye official website ya antivirus husika tena kwa bei nzuri (japo mimi hii pia nayo sikubaliani nayo)

Nishajiwekea kiapo kwamba katika huu ulimwengu wa tech wenye manguli wakucheza na cracking software sitokuja kulipia software yeyote

Au hadi humu namo kuna watu wenye spirit hiyo ya kuamini bidhaa za kwenye maduka za mfumo wa CD ni bora zaidi na kuzidharau hizi za mtandaoni?
Kila mtu asiponunua kwasababu ya manguli wa cracking nani atazitengeneza? Mkuu unajua Kuna watu mpaka leo wananunua kanda za kwenye redio? Dunia hii ina watu wa aina mbalimbali na wenye imani tofauti tofauti mno. Mfano kuna watu pamoja na technology iliyopo bado wanaamini dunia si duara tunadanganywa.
 
Mkuu mimi sijaelewa hapo. Yaani kwa mfano mimi ni mpenzi wa Fl Studio natoa hela yangu mfukonu nalipia leseni nitumie ili nifanikishie kazi zangu inakuaje matumizi mabaya ya fedha?

Au tuseme kuna kiatu nimekipenda basi nikiibe ili nisave pesa?!

Sio kwamba situmii Cracks, natumia sana. Vile tu mambo hayajakaa sawa ila naamini ntaachana nazo tu. Kama umepitia programming hata kwa ufupi utagundua hawa jamaa hawastahili tunachowatendea.
Hatukatai tunaishi kwenye ulimwengu wa dhambi ila inapotokea umepata nafasi ya kumfurahisha Mungu itumie vizuri.

Anyway jaribu kupitia kwa hawa ndugu zetu wa quora wamediscuss vizuri tu madhara ya cracked software.

Hujanielewa vizuri. Matumizi mabaya sio kulipia leseni kwa ajili ya kufanyia kazi zako

Matumizi mabaya ni kugharamia product ambayo inapatikana for free, na ndio maana hapo nimeeleza kwamba hata mimi kuna software nilikua naitaka nikafika hadi uamuzi wa kutaka kuinunua baada ya kuona hakuna crack lakini punde nikakutana na site moja imeweka crack

Kwa mfano ambao nimeuweka hapo ndio unatanabaisha ni nini namaanisha, inakuaje ununue product kisha uwekewe limitation na masharti ambayo yanakubana wakati nje na hapo hiyo hoyo software ni bure na hakuna limitation?

Hiyo quora ni platfom kama ilivyo jf watu wana share mawazo yao kama tufanyavyo mimo na wewe hapa, kuna watu ambao wanasupport hizo crack na wapo ambao wanapinga so nothin new
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Mkuu hiyo unayoita free ndio Upirate wenyewe ndio maana nikakutolea mfano wa kiatu.

Anyway ili dunia iwepo ni lazima tuwe na mitizamo tofauti nikiwa na maana hata polisi wanasupport uhalifu kimtindo ili waendelee kuwepo.
 
Usiangalie katika angel moja tu

Kumbuka unaweza ukauziwa na ukawa umeibiwa vile vile
 
Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.

Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao

Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile licence zinagoma so mchizi kapigwa

Technolojia inakua kila kukicha na saizi hatuko kwenye soko la CD tena kulinganisha na miaka ya nyuma. Na ndio maana PC latest hata mlango wa CD nowdays haziwekwi. Kama antivirus unataka kununua unaweza uka request licence kwenye official website ya antivirus husika tena kwa bei nzuri (japo mimi hii pia nayo sikubaliani nayo)

Nishajiwekea kiapo kwamba katika huu ulimwengu wa tech wenye manguli wakucheza na cracking software sitokuja kulipia software yeyote

Au hadi humu namo kuna watu wenye spirit hiyo ya kuamini bidhaa za kwenye maduka za mfumo wa CD ni bora zaidi na kuzidharau hizi za mtandaoni?
Kuhusu kununua software inategemeana na kazi uzifanyazo. Kuna software huwezi kuzipata mtandaoni au zipo mtandaoni lakini zinafanya kazi na server, ili uweze kupata ya free labda uhack server kitu ambacho hauwezi.

Kwa matumizi ya kawaida ya kompyuta hata mimi siwezi nikalipia software lakini linapokuja swala la kazi inayokuingizia kipato nitalipia.

Upande wangu windows defender inatosha sana.
 
Uko sahihi kwa maelezo yako.
 
Hv ni kweli window 10 ikiwa kwenye pc hauitaji kupiga window!!eti enyewe ni window defender! !
 
Hv ni kweli window 10 ikiwa kwenye pc hauitaji kupiga window!!eti enyewe ni window defender! !
Siyo hivyo mkuu, ila Windows defender ni antivirus ambayo ni inbuilt in kwenye Windows 10. Ambayo hufanya defence dhidi ya shambulio linaloilenga hiyo windows pamoja na vitu vingine vilivyomo kwenye PC yako.

Ila baada ya kipindi fulani kupita windows defender ilipokea updates na kubadilika jina ambapo siku hizi huitwa Windows defender security center.

Sema tu kwamba windows 10 ina feature ambayo unaweza kuifanya kama tunavyofanya kwenye simu (factory reset) ambapo windows 10 itafuta apps ama programs zote ulizoinstall na itakuwa kama ndo umepiga windows upya.

Ila kabla ya kufanya hivyo itakuuliza ni vitu gani unataka ibakize wakati wa kufanya hilo zoezi.

Sent from my cupboard using mug
 
Shukran kwa ufafanuzi mzr maana nilikuwa sielewi

Haki ya kweli ipo kaburini, hata humu jf kuna payments kwanini usifanye hivyo ukata hata u platnam member kama kweli hutaki vya bure?

Mnajifanya hamtaki vya bure wakati kuna watu wanameza ARV ambazo zinatolewa bure

Kama kweli unazingatia itifaki utagundua hata ku stream hizo ngoma online nako ni kudidimiza haki ya msaniivile vile kwasababu ungeweza kuzinunua official

Wewe unafurahia ku stream nyimbo online bure ukihisi kufanya hivyo ni kusuport kazi ya msanii wakati mimi nimenunua album ya dizasta kwa pesa taslimu (nauhakika katika career yako hujawahi kununua album ya mwanamziki)
Ukistream youtube moja kwa moja umechangia kipato cha video uploader... wote wawili mnakuwa mmesuport kazi ya muhusika aliyenunua album na ambaye anaziangalia kupitia official account ya muhusika.
 
Ukistream youtube moja kwa moja umechangia kipato cha video uploader... wote wawili mnakuwa mmesuport kazi ya muhusika aliyenunua album na ambaye anaziangalia kupitia official account ya muhusika.
Boshoo ninja alivyokua analalamika swala la serikali kuwatoza wasanii shilingi 5000 kwa kile video wanayo upload youtube alisema kua sio wanamziki wote wnafaidika na youtube maana yeye wengi hawajawahi kulipwa na hiyo youtube wana upload tu ku promote kazi zao ambazo mdau akivutiwa nazo anazinunua directly
 
Kuna siku nimeinstall crack ya adobe, kumbe ni robots za warussia wanasaka traffic
Siku hiyo ndo nilijua sijui, mafile yote yaliliwa, browser zikawa zinafungua new tabs hata 10 kwa wakati mmoja.
Nilishawahi kukutana na hiyo ishu, ila wale walikuwa wachina. Aiseee, pc nzima ikawa inaandika kichina na baadhi ya mafolder hayaonekani. Nikapambana kutafuta Antivirus moja inaitwa unhack me ilikuwa na 30 days trial ndo ikaniokoa kuondoa hayo matakataka. Ila hadi nafanikiwa nikuwa nishapata wenge la hatari. Ila bado sijakoma.
 
Back
Top Bottom