Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Na ndo umri una sogea (Age go),tatzo la WEMA hajitambui hata kidogo,angalia marafik zake alionao wote wapenda starehe,
Nakumbuka lemutuz aliwahi kuanika picha zake za hovyo humu jf pale alipohamia ukawa, sasa baada ya kurudi ccm lemutuz kageuza kibao anamuita my great friend
 
Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini

Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema

Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel

Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha

Anakwama wapi , ili tumshauri?
"Japo si vema sana kuzungumzia maisha ya watu lakini wasukuma tunasemaga ya kwamba mafanikio kwa mwanamke lazima "beauty and brain! ziwe proportional
warembo wengi bongo iyo ya pili hawana and yet wanaact mageneus wajuaji ndo mana wanazeeka wao na papuchi zao zinazochakaa kila siku kwa matumizi yaliyopitiliza,umri unapowatupa mkono ndo hapo wanatapatapa mara waolewe na vitoto,mara wahangaikie vikazi vya kulipwa hii yote ni kutafuta pa kuegemea wasihadhilike.

muhenga nilishasema "Asiyetaka kujituma atatumiwa tu hakuna namna!
hapa inabidi tu watu waitumie platform yake wapige mkwanja ye abaki na undezi wake wa iz na was kama Diva mwana malinzi
 
Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini

Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema

Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel

Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha

Anakwama wapi , ili tumshauri?
Kwani kila mwenye umaarufu ni tajiri?
 
Wema anadandia wanaume wenye pesa tu, wanamtumia kwa NGONO kisha wanapotea. Nilikua nawakumbuka wanaume waliofanya ngono na wema aisee ni wengi sana. Ni aibu mno kwa jamii na sio mfano bora wa kuigwa. Wema ni mhuni. Ule sio uhuru ila ni matumizi mabaya ya mwili wake.
 
Umefanya vizuri kuniomba radhi,yaani mimi niende pm na huyo mpuuzi asiejielewa?
Mshinda JF na vicomment vya kijinga jinga? Cha ajabu eti na yeye anashauri wenzie maendeleo!! Teh! Teh! Dunia ina maajabu sana!
Angalia hata hao waliojitokeza kumsaidia kunijibu ni wale anaoshinda nao jf na vicomment vya hovyo hovyo! Ndege wafananao huruka pamoja wamethibitisha huo msemo,Mtu mwenyewe ni mshinda jf akiongea pumba tupu daily eti nimfate pm!!
Tema chini hakuna mkate mgumu mbele ya chai! Hivi kweli Shunie akiamua kumchunuku mwanaume hapa JF nani hatashangilia? Hii naona ni gia yako ya kutaka kumuingia aidha ulimzukia akakausha na hii ni mbinu ya kulipiza ili akukubali. Ni kosa kubwa kwa mtoto wa kiume kuanzisha ligi na mtu mwenye kitumbua, hujafa hujaumbika anaweza kukuokoa au kukukandamiza ogopa nguvu ya K
 
Kuwa maarufu ni jambo moja na kuwa na maendeleo ni kitu kingine. Kuna njia nyingi za kutafuta umaarufu lakini aimaanishi lazima utapata maendeleo. Kwa hiyo usishangae hiyo ndio hali ya dunia.
 
Tema chini hakuna mkate mgumu mbele ya chai! Hivi kweli Shunie akiamua kumchunuku mwanaume hapa JF nani hatashangilia? Hii naona ni gia yako ya kutaka kumuingia aidha ulimzukia akakausha na hii ni mbinu ya kulipiza ili akukubali. Ni kosa kubwa kwa mtoto wa kiume kuanzisha ligi na mtu mwenye kitumbua, hujafa hujaumbika anaweza kukuokoa au kukukandamiza ogopa nguvu ya K
Wewe nae ni wakupuuzwa tu unaonekana unapenda sana kujikomba ndio maana umemquote huyo mtu wako ili aone eti unamfagilia,usifikiri watu wote ni wa hovyo na wanapenda kujikomba kwa mtu mwenye avatar fake na ID fake,jaribu kua na akili iliyokamaa na si ya kitoto.
 
Back
Top Bottom