Pamoja na Kutolewa Barcelona Gari Limewaka!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kwa walioangalia game ya jana watakubaliana nami kwa sasa Barca baada ya misukosuko yote soon tunaenda kurudisha ufalme wetu ktk soka la dunia.

Timu imecheza kwa maelewano makubwa pasi za uhakika na umiliki wa kiwango cha juu sasa umerudi! PSG jana wameutafuta kwa tochi!

Ni wakati saa Rais wetu mteule Laporte kukisuka kikosi kwa kurekebisha mapungufu hasa pale mbele kwenye ushambulizi, kuna watu pale ushawishi wa kuendelea kuwemo barca ni mdogo Othuman Dembele, Braithwaite, Greizman, Pjanic hawa watu ni wa kuwauza tu pale tupate watu kama Lautaro Martinez, Neymar Jr, Haaland waje wasaidiane na madogo akina Ansufat, Puig.

Kwa watu hawa hata Messi atarudi ktk kiwango chake...beki nayo jana imecheza vizuri sana kupanda na kushuka kwa wakati hongera kwao wakiongozwa na kijana Dest
 
Bado, tena bado sana.

Kwa mechi moja tu,ahaaa.

Ngoja kwanza wakipute kama jana mechi kadhaa zijazo.
 
Kwa walioangalia game ya jana watakubaliana nami kwa sasa barca baada ya misukosuko yote soon tunaenda kurudisha ufalme wetu ktk soka la dunia.

Timu imecheza kwa maelewano makubwa pasi za uhakika na umiliki wa kiwango cha juu sasa umerudi! PSG jana wameutafuta kwa tochi!

Ni wakati saa Rais wetu mteule Laporte kukisuka kikosi kwa kurekebisha mapungufu hasa pale mbele kwenye ushambulizi, kuna watu pale ushawishi wa kuendelea kuwemo barca ni mdogo Othuman Dembele, Braithwaite, Greizman, Pjanic hawa watu ni wa kuwauza tu pale tupate watu kama Lautaro Martinez, Neymar Jr, Haaland waje wasaidiane na madogo akina Ansufat, Puig.

Kwa watu hawa hata Messi atarudi ktk kiwango chake...beki nayo jana imecheza vizuri sana kupanda na kushuka kwa wakati hongera kwao wakiongozwa na kijana Dest

Messi ataendelea kutawala soka kamanda, sema hajapata wachezaji makini pale, ila wachache tu....ukiangalia kwa umakini mashambulizi zaidi yanafanyika kwake....Raisi mpya ajipange na kuisuka upya timu.....

Kwa ushauri wangu

Griezmann out
Braithwaite out
Pique out
Dest out
Pjanic out
Coutinho out

Abaki Dembele tu, Neymar abaki huko huko psg....pancha nyingi sana.
 
Dest ana shida gani? umeona jana dogo alivyokuwa anapanda na hadi kuingia kwenye box....unalikumbuka lile Sekeseke aliopiga ule mpira ukagonga mlingoti wa juu
Dest mzuri aisee..yeye asalie klabuni
 
Yeah

Huyu dogo yupo vizuri.

Ana mapungufu madogomadogo kutokana na umri na uzoefu.

With time atakaa sawa tu.
 
Kwani hata kufika fainali mbili wakati Real na atletico Madrid wameshindwa unadhani ni rahisi sio? .
 
Na Tayari rasmi sasa Kun Aguero anakamilisha taratibu za mwisho anakuja camp nou majira haya ya kiangazi hii ni ripoti iliyotoka jana
Mara coutinho, mara aguero. Mara pimbi gani sijui. Mnatapatapa tu. Chekini wenzenu Madrid, pamoja na mzee wa mipira ya hewani Ronaldo kusepa lakin bado washkaji wanatawala UEFA kama kawa.
 
Back
Top Bottom