Pambeee tu

Pambeee tu

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Kwenye maisha ya uswahilini na pwani huwa kuna kashda za Pwani, kwa namna hiyo basi hapa nazungumzia Pwani kwa ujumla maneno ya waswahili wa pwani hunikosha sana na huwa kuntu tena pambee tena hatari.

Napenda sana hawa watu wananikosha sana na vijineno na kashda ambazo ni shutu babu kuna hawa wafuatao nawakubali sana Bi Chau, Bi hindu, Gea Habib, Mariam Migomba aka Mami Originale, Mwanne Othman aka Toto la Matashtiti, Mishi Bomba aka Mishi `B` kwenye taarabu namkubali Isha Mashauzi aka the Queen of best melodies
Malkia Leyla Rashidi,Mfalme Mzee Yussuf,Jokha Kassim,Hanifa Maulid aka Jike la Chui,Fatma Nyoro,Ashura Machupa

Kwenye bendi za taarab kuna Jahaz Modern Taarab, Dar modern,Wakali wao Modern taradance,Five Star na Mashauzi Classic. Wadau bora na wapenzi wa taarab ninaowapenda ni- Hafidhi Alawi aka mvuto mia kwa mia, Halfan Rangi Adimu, Jesca Haul, Haji Hassan, Clasic kirikuu, Zamiri Mvuto, Thabit Abdul, Rukia aly, Neema wa Michambo, Levina mathias,Saidi Mdoe, Kamongo Mistabin aka Mtoto wa Msasani.

Tajeni wengine wadau
 
mambo ya vigodoro peleka huko huko tandale na kigogo huku masaki havieleweki
 
Haaaaaaaah haaaaaaah haaaaah...! Wazee wa vidole juu..! Si wengne sio wapenzi sanaaaa wa hizo mipasho
 
hapana chezea napendaje hata bongo fleva sipend km navyopenda mamb ya uswahilini yaani ni hataree lakin salama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom