Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,278
Mkuu Huku Kwenye Boxing Kuna Pesa Nyingi kule Ufc unapasukapasuka Ila hela Hakuna.Hii imekaaje UFC fighters wanaamia kwenye boxing [emoji1][emoji15]
Kuna Yule Chad Johnson ana kelele nyingii
Naona clips hapa. You tuber alikazaWanafuata mpunga mrefu $$$
Ha ha haMkuu Huku Kwenye Boxing Kuna Pesa Nyingi kule Ufc unapasukapasuka Ila hela Hakuna.
UFC kuna pesa ndefu sema pesa inaingia kwa kampuni wapiganaji wanalipwa kiduchuuu, yaani ni kama lebo ya muziki msanii unakuja kuambiwa tumekata gharama za promotion/kuwalipa managers/nguo n.kMkuu Huku Kwenye Boxing Kuna Pesa Nyingi kule Ufc unapasukapasuka Ila hela Hakuna.
Iko hivi, hawa 'YouTubers' waliovamia kwenye boxing (Logan Paul,Jake Paul na KSI) wametokea kukamata headlines sana kutokana na majina yao kuwa makubwa kwenye social medias na wana mashabiki wengi hivyo wakiandaa mapambano yanauza sana, na kwavile boxing imepoteza mvuto promoters wanavutiwa kuwatumia hawa kumake easy money kuliko kutumia nguvu nyingi kupromote real boxers ambao hawana majina hivyo kupigwa hasara. Real boxing fans/Real boxers wengi wanachukia kuona hawa watu wanapata sportlight kubwa kuliko wapiganaji wa kweli ambao wamewekeza akili zao na nguvu kwenye huu mchezo kwa miaka mingi ila hawapewi sapoti kihivo, mmojawapo ni no1 p4p boxer CANELO ALVAREZ aliwahi kuongelea hii na kuonyesha kuchukizwa. Lakini kwa upande mwingine wachambuzi/wadau wengine wa ndondi wanasapoti uwepo wa hawa watu kwa vile wanatengeneza mashabiki wapya wa boxing hivyo kuifanya boxing kuwa alive (wanawavutia casual fans). Baada ya kueleza hivyo nijibu hoja yako ya why UFC fighters wanahamia kwenye boxing;Hii imekaaje UFC fighters wanaamia kwenye boxing [emoji1][emoji15]
Kuna Yule Chad Johnson ana kelele nyingii
Nimeelimika vzr mkuuIko hivi, hawa 'YouTubers' waliovamia kwenye boxing (Logan Paul,Jake Paul na KSI) wametokea kukamata headlines sana kutokana na majina yao kuwa makubwa kwenye social medias na wana mashabiki wengi hivyo wakiandaa mapambano yanauza sana, na kwavile boxing imepoteza mvuto promoters wanavutiwa kuwatumia hawa kumake easy money kuliko kutumia nguvu nyingi kupromote real boxers ambao hawana majina hivyo kupigwa hasara. Real boxing fans/Real boxers wengi wanachukia kuona hawa watu wanapata sportlight kubwa kuliko wapiganaji wa kweli ambao wamewekeza akili zao na nguvu kwenye huu mchezo kwa miaka mingi ila hawapewi sapoti kihivo, mmojawapo ni no1 p4p boxer CANELO ALVAREZ aliwahi kuongelea hii na kuonyesha kuchukizwa. Lakini kwa upande mwingine wachambuzi/wadau wengine wa ndondi wanasapoti uwepo wa hawa watu kwa vile wanatengeneza mashabiki wapya wa boxing hivyo kuifanya boxing kuwa alive (wanawavutia casual fans). Baada ya kueleza hivyo nijibu hoja yako ya why UFC fighters wanahamia kwenye boxing;
1. UFC fighters waliopigana kwenye boxing sio wengi kama unavyofikiria, mi ninaowakumbuka ni Conor McGregor aliyepigana na Mayweather, na Ben Askrem aliyepigana na Jake Paul miezi kadhaa iliyopita kama kuna wengine niliowasahau niambie
2. Boxing ina malipo mazuri zaidi ukiwa na jina kuliko UFC ambapo kina Dana White wanawakamua sana fighters wao kwa kigezo cha kuwapa promo. UFC ni wazuri kwenye branding, wamefanikiwa kutengeneza majina makubwa kwenye combart sports kwa miaka hii kuliko boxing ila shida wanawabana kwenye malipo, ukitaka kuamini hili angalia hata following kwenye social medias, UFC fighters wengi wenye majina makubwa wana following kubwa kuliko boxers
3. Ni rahisi UFC fighter (MMA) kwenda kucheza boxing kuliko boxer kwenda kucheza MMA kutokana na kwamba MMA fighter anajifunza vingi, boxing ni part ya Martial Arts. Ila boxer kwenda kwenye MMA itamchukua muda mwingi sana ili aweze kufanya ushindani, maana itabidi ajifunze kucheza mateke, grapping, wrestling, n.k. in short MMA is very close to streetfight. Boxer smart hawezi kukubali kwenda kuwa embarrassed kwenye ring ya Octagon, kuna boxer kadhaa walijaribu kufanya hivyo wakaishida kudharirishwa vibaya. Msearch James Toney utaelewa
4. Kwa hawa YouTubers wanapendelea kupigana na hawa UFC fighters kwa vile wanajua ni rahisi kuwapiga kwenye boxing ring, maana wana basics tu za boxing hawako deep sana huko. Jake Paul anatarajia kupigana na Retired UFC champion anaitwa Woodley hapo mwezi wa nane na watauza sana, maana Woodley ana jina kubwa na hana cha kupoteza, na Jake Paul now ni hotcake kushinda hata top boxing champions. If it makes dollars it makes sense, so hongera kwa Paul Brothers
UFC wanajiuliza wanakosea wapi kwanini hawatengenezi pesa kama [emoji3037].Iko hivi, hawa 'YouTubers' waliovamia kwenye boxing (Logan Paul,Jake Paul na KSI) wametokea kukamata headlines sana kutokana na majina yao kuwa makubwa kwenye social medias na wana mashabiki wengi hivyo wakiandaa mapambano yanauza sana, na kwavile boxing imepoteza mvuto promoters wanavutiwa kuwatumia hawa kumake easy money kuliko kutumia nguvu nyingi kupromote real boxers ambao hawana majina hivyo kupigwa hasara. Real boxing fans/Real boxers wengi wanachukia kuona hawa watu wanapata sportlight kubwa kuliko wapiganaji wa kweli ambao wamewekeza akili zao na nguvu kwenye huu mchezo kwa miaka mingi ila hawapewi sapoti kihivo, mmojawapo ni no1 p4p boxer CANELO ALVAREZ aliwahi kuongelea hii na kuonyesha kuchukizwa. Lakini kwa upande mwingine wachambuzi/wadau wengine wa ndondi wanasapoti uwepo wa hawa watu kwa vile wanatengeneza mashabiki wapya wa boxing hivyo kuifanya boxing kuwa alive (wanawavutia casual fans). Baada ya kueleza hivyo nijibu hoja yako ya why UFC fighters wanahamia kwenye boxing;
1. UFC fighters waliopigana kwenye boxing sio wengi kama unavyofikiria, mi ninaowakumbuka ni Conor McGregor aliyepigana na Mayweather, na Ben Askrem aliyepigana na Jake Paul miezi kadhaa iliyopita kama kuna wengine niliowasahau niambie
2. Boxing ina malipo mazuri zaidi ukiwa na jina kuliko UFC ambapo kina Dana White wanawakamua sana fighters wao kwa kigezo cha kuwapa promo. UFC ni wazuri kwenye branding, wamefanikiwa kutengeneza majina makubwa kwenye combart sports kwa miaka hii kuliko boxing ila shida wanawabana kwenye malipo, ukitaka kuamini hili angalia hata following kwenye social medias, UFC fighters wengi wenye majina makubwa wana following kubwa kuliko boxers
3. Ni rahisi UFC fighter (MMA) kwenda kucheza boxing kuliko boxer kwenda kucheza MMA kutokana na kwamba MMA fighter anajifunza vingi, boxing ni part ya Martial Arts. Ila boxer kwenda kwenye MMA itamchukua muda mwingi sana ili aweze kufanya ushindani, maana itabidi ajifunze kucheza mateke, grapping, wrestling, n.k. in short MMA is very close to streetfight. Boxer smart hawezi kukubali kwenda kuwa embarrassed kwenye ring ya Octagon, kuna boxer kadhaa walijaribu kufanya hivyo wakaishida kudharirishwa vibaya. Msearch James Toney utaelewa
4. Kwa hawa YouTubers wanapendelea kupigana na hawa UFC fighters kwa vile wanajua ni rahisi kuwapiga kwenye boxing ring, maana wana basics tu za boxing hawako deep sana huko. Jake Paul anatarajia kupigana na Retired UFC champion anaitwa Woodley hapo mwezi wa nane na watauza sana, maana Woodley ana jina kubwa na hana cha kupoteza, na Jake Paul now ni hotcake kushinda hata top boxing champions. If it makes dollars it makes sense, so hongera kwa Paul Brothers
Asante [emoji120]Nimeelimika vzr mkuu
Hapo wa kujiuliza sio UFC fighters tu, hata boxers. Kuna boxers wasiozidi watatu wanaoweza kumake $20 mil kwa pambano moja. Imagine Wilder na Fury kwenye pambano lao hakuna aliyeingiza kiasi hicho, ila YouTuber aliyewahi kucheza pambano moja na kupoteza anamake kiasi hicho[emoji3061]UFC wanajiuliza wanakosea wapi kwanini hawatengenezi pesa kama [emoji3037].View attachment 1812101
Uchambuzi safiIko hivi, hawa 'YouTubers' waliovamia kwenye boxing (Logan Paul,Jake Paul na KSI) wametokea kukamata headlines sana kutokana na majina yao kuwa makubwa kwenye social medias na wana mashabiki wengi hivyo wakiandaa mapambano yanauza sana, na kwavile boxing imepoteza mvuto promoters wanavutiwa kuwatumia hawa kumake easy money kuliko kutumia nguvu nyingi kupromote real boxers ambao hawana majina hivyo kupigwa hasara. Real boxing fans/Real boxers wengi wanachukia kuona hawa watu wanapata sportlight kubwa kuliko wapiganaji wa kweli ambao wamewekeza akili zao na nguvu kwenye huu mchezo kwa miaka mingi ila hawapewi sapoti kihivo, mmojawapo ni no1 p4p boxer CANELO ALVAREZ aliwahi kuongelea hii na kuonyesha kuchukizwa. Lakini kwa upande mwingine wachambuzi/wadau wengine wa ndondi wanasapoti uwepo wa hawa watu kwa vile wanatengeneza mashabiki wapya wa boxing hivyo kuifanya boxing kuwa alive (wanawavutia casual fans). Baada ya kueleza hivyo nijibu hoja yako ya why UFC fighters wanahamia kwenye boxing;
1. UFC fighters waliopigana kwenye boxing sio wengi kama unavyofikiria, mi ninaowakumbuka ni Conor McGregor aliyepigana na Mayweather, na Ben Askrem aliyepigana na Jake Paul miezi kadhaa iliyopita kama kuna wengine niliowasahau niambie
2. Boxing ina malipo mazuri zaidi ukiwa na jina kuliko UFC ambapo kina Dana White wanawakamua sana fighters wao kwa kigezo cha kuwapa promo. UFC ni wazuri kwenye branding, wamefanikiwa kutengeneza majina makubwa kwenye combart sports kwa miaka hii kuliko boxing ila shida wanawabana kwenye malipo, ukitaka kuamini hili angalia hata following kwenye social medias, UFC fighters wengi wenye majina makubwa wana following kubwa kuliko boxers
3. Ni rahisi UFC fighter (MMA) kwenda kucheza boxing kuliko boxer kwenda kucheza MMA kutokana na kwamba MMA fighter anajifunza vingi, boxing ni part ya Martial Arts. Ila boxer kwenda kwenye MMA itamchukua muda mwingi sana ili aweze kufanya ushindani, maana itabidi ajifunze kucheza mateke, grapping, wrestling, n.k. in short MMA is very close to streetfight. Boxer smart hawezi kukubali kwenda kuwa embarrassed kwenye ring ya Octagon, kuna boxer kadhaa walijaribu kufanya hivyo wakaishia kudharirishwa vibaya. Msearch James Toney utaelewa
4. Kwa hawa YouTubers wanapendelea kupigana na hawa UFC fighters kwa vile wanajua ni rahisi kuwapiga kwenye boxing ring, maana wana basics tu za boxing hawako deep sana huko. Jake Paul anatarajia kupigana na Retired UFC champion anaitwa Woodley hapo mwezi wa nane na watauza sana, maana Woodley ana jina kubwa na hana cha kupoteza, na Jake Paul now ni hotcake kushinda hata top boxing champions. If it makes dollars it makes sense, so hongera kwa Paul Brothers
Sawa...Iko hivi, hawa 'YouTubers' waliovamia kwenye boxing (Logan Paul,Jake Paul na KSI) wametokea kukamata headlines sana kutokana na majina yao kuwa makubwa kwenye social medias na wana mashabiki wengi hivyo wakiandaa mapambano yanauza sana, na kwavile boxing imepoteza mvuto promoters wanavutiwa kuwatumia hawa kumake easy money kuliko kutumia nguvu nyingi kupromote real boxers ambao hawana majina hivyo kupigwa hasara. Real boxing fans/Real boxers wengi wanachukia kuona hawa watu wanapata sportlight kubwa kuliko wapiganaji wa kweli ambao wamewekeza akili zao na nguvu kwenye huu mchezo kwa miaka mingi ila hawapewi sapoti kihivo, mmojawapo ni no1 p4p boxer CANELO ALVAREZ aliwahi kuongelea hii na kuonyesha kuchukizwa. Lakini kwa upande mwingine wachambuzi/wadau wengine wa ndondi wanasapoti uwepo wa hawa watu kwa vile wanatengeneza mashabiki wapya wa boxing hivyo kuifanya boxing kuwa alive (wanawavutia casual fans). Baada ya kueleza hivyo nijibu hoja yako ya why UFC fighters wanahamia kwenye boxing;
1. UFC fighters waliopigana kwenye boxing sio wengi kama unavyofikiria, mi ninaowakumbuka ni Conor McGregor aliyepigana na Mayweather, na Ben Askrem aliyepigana na Jake Paul miezi kadhaa iliyopita kama kuna wengine niliowasahau niambie
2. Boxing ina malipo mazuri zaidi ukiwa na jina kuliko UFC ambapo kina Dana White wanawakamua sana fighters wao kwa kigezo cha kuwapa promo. UFC ni wazuri kwenye branding, wamefanikiwa kutengeneza majina makubwa kwenye combart sports kwa miaka hii kuliko boxing ila shida wanawabana kwenye malipo, ukitaka kuamini hili angalia hata following kwenye social medias, UFC fighters wengi wenye majina makubwa wana following kubwa kuliko boxers
3. Ni rahisi UFC fighter (MMA) kwenda kucheza boxing kuliko boxer kwenda kucheza MMA kutokana na kwamba MMA fighter anajifunza vingi, boxing ni part ya Martial Arts. Ila boxer kwenda kwenye MMA itamchukua muda mwingi sana ili aweze kufanya ushindani, maana itabidi ajifunze kucheza mateke, grapping, wrestling, n.k. in short MMA is very close to streetfight. Boxer smart hawezi kukubali kwenda kuwa embarrassed kwenye ring ya Octagon, kuna boxer kadhaa walijaribu kufanya hivyo wakaishia kudharirishwa vibaya. Msearch James Toney utaelewa
4. Kwa hawa YouTubers wanapendelea kupigana na hawa UFC fighters kwa vile wanajua ni rahisi kuwapiga kwenye boxing ring, maana wana basics tu za boxing hawako deep sana huko. Jake Paul anatarajia kupigana na Retired UFC champion anaitwa Woodley hapo mwezi wa nane na watauza sana, maana Woodley ana jina kubwa na hana cha kupoteza, na Jake Paul now ni hotcake kushinda hata top boxing champions. If it makes dollars it makes sense, so hongera kwa Paul Brothers
Nilisubiri sana kuanzishwa kwa uzi wa hiki pambano nilijua nitapata elimu kama hii... ThanksIko hivi, hawa 'YouTubers' waliovamia kwenye boxing (Logan Paul,Jake Paul na KSI) wametokea kukamata headlines sana kutokana na majina yao kuwa makubwa kwenye social medias na wana mashabiki wengi hivyo wakiandaa mapambano yanauza sana, na kwavile boxing imepoteza mvuto promoters wanavutiwa kuwatumia hawa kumake easy money kuliko kutumia nguvu nyingi kupromote real boxers ambao hawana majina hivyo kupigwa hasara. Real boxing fans/Real boxers wengi wanachukia kuona hawa watu wanapata sportlight kubwa kuliko wapiganaji wa kweli ambao wamewekeza akili zao na nguvu kwenye huu mchezo kwa miaka mingi ila hawapewi sapoti kihivo, mmojawapo ni no1 p4p boxer CANELO ALVAREZ aliwahi kuongelea hii na kuonyesha kuchukizwa. Lakini kwa upande mwingine wachambuzi/wadau wengine wa ndondi wanasapoti uwepo wa hawa watu kwa vile wanatengeneza mashabiki wapya wa boxing hivyo kuifanya boxing kuwa alive (wanawavutia casual fans). Baada ya kueleza hivyo nijibu hoja yako ya why UFC fighters wanahamia kwenye boxing;
1. UFC fighters waliopigana kwenye boxing sio wengi kama unavyofikiria, mi ninaowakumbuka ni Conor McGregor aliyepigana na Mayweather, na Ben Askrem aliyepigana na Jake Paul miezi kadhaa iliyopita kama kuna wengine niliowasahau niambie
2. Boxing ina malipo mazuri zaidi ukiwa na jina kuliko UFC ambapo kina Dana White wanawakamua sana fighters wao kwa kigezo cha kuwapa promo. UFC ni wazuri kwenye branding, wamefanikiwa kutengeneza majina makubwa kwenye combart sports kwa miaka hii kuliko boxing ila shida wanawabana kwenye malipo, ukitaka kuamini hili angalia hata following kwenye social medias, UFC fighters wengi wenye majina makubwa wana following kubwa kuliko boxers
3. Ni rahisi UFC fighter (MMA) kwenda kucheza boxing kuliko boxer kwenda kucheza MMA kutokana na kwamba MMA fighter anajifunza vingi, boxing ni part ya Martial Arts. Ila boxer kwenda kwenye MMA itamchukua muda mwingi sana ili aweze kufanya ushindani, maana itabidi ajifunze kucheza mateke, grapping, wrestling, n.k. in short MMA is very close to streetfight. Boxer smart hawezi kukubali kwenda kuwa embarrassed kwenye ring ya Octagon, kuna boxer kadhaa walijaribu kufanya hivyo wakaishia kudharirishwa vibaya. Msearch James Toney utaelewa
4. Kwa hawa YouTubers wanapendelea kupigana na hawa UFC fighters kwa vile wanajua ni rahisi kuwapiga kwenye boxing ring, maana wana basics tu za boxing hawako deep sana huko. Jake Paul anatarajia kupigana na Retired UFC champion anaitwa Woodley hapo mwezi wa nane na watauza sana, maana Woodley ana jina kubwa na hana cha kupoteza, na Jake Paul now ni hotcake kushinda hata top boxing champions. If it makes dollars it makes sense, so hongera kwa Paul Brothers
Jingine la kujifunza ni influence ya youtube na instagram ambayo kibongobongo tuna tabia ya kudharau. Nakumbuka posts za mwanzo kabisa za mayweather vs logan walitaja namba zao kwenye insta.Hawa jamaa ni maarufu sana huko YouTube kwa kutengeneza content mbalimbali na wanavuta mpunga mrefu kupitia hili, kuingia kwenye boxing wamejiongeza tu;
__LOGAN PAUL
__KSI
60 Billion kwa ile exhibition?..ma.mae watu wanatengeza dola bhanaHapo wa kujiuliza sio UFC fighters tu, hata boxers. Kuna boxers wasiozidi watatu wanaoweza kumake $20 mil kwa pambano moja. Imagine Wilder na Fury kwenye pambano lao hakuna aliyeingiza kiasi hicho, ila YouTuber aliyewahi kucheza pambano moja na kupoteza anamake kiasi hicho[emoji3061]