Matope JF-Expert Member Apr 29, 2009 892 679 Feb 18, 2012 #1 Wakuu mapambano ya awali nda yanaanza sasa hv then baadae tuone mrusi na muingereza nani zaidi maana walizozana sana wakati wanapima uzitoi hawa jamaa juzi!
Wakuu mapambano ya awali nda yanaanza sasa hv then baadae tuone mrusi na muingereza nani zaidi maana walizozana sana wakati wanapima uzitoi hawa jamaa juzi!
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Feb 18, 2012 #2 nalingoja hili pambano sana tu...dogo mwingereza juzi aligwa fain baada ya kum punch kilch..halafu huyu klichi sio mrusi
nalingoja hili pambano sana tu...dogo mwingereza juzi aligwa fain baada ya kum punch kilch..halafu huyu klichi sio mrusi
Matope JF-Expert Member Apr 29, 2009 892 679 Feb 18, 2012 Thread starter #4 Ukraine kaka typing error sorry wadau!dogo sijui labda itokee kama ya zambia na CIV!!!!
M Mwera JF-Expert Member Oct 26, 2010 964 89 Feb 18, 2012 #7 Matope said: SS2 mkuu angalia! Click to expand... asante matope!