Mimi ni sikio sio pua wala kinywa mkuuPole sana, nenda magomeni mikumi kwa Dr Ole au ekenywa pale ndio mwisho wa matatizo ya pua, na kinywa.
Kati ya hao yupi anatibu Bila kuchonokoa chokonoa sikio, maana muhimbili walinichokonoa aisee waliniuniza sana, na mwanzo lilikua haliumi ila baada ya kunichokonoa pale muhimbili ndio limeanza kuumaNenda
1. EL Jumaa ipo kariakoo mtaa wa Sikukuu/Mafia
2.Dr Ekenywa clinic ipo nyuma ya petrol station ya Super star magomeni
yeye anafanya sucking ama kupigwa bomba analainisha kwanza na hydrogen peroxide ikilainika inavutwa....ukiwa unaenda kariakoo shuka fire alaf ulizia pale ilipo hospital ya regencyAnatibu kwa kutumia nini mkuu, na ninaomba kuelekezwa ilipo hiyo hospital, maana nimeenda muhimbili wakawa wanajaribu kunitoa na ncha fulani hivi ya plastic iliyochongoka, kwa kweli walizidi kuniumiza na pamba hawakuitoa wakidai iko mbali sana, wakaniambia niende alhamis kwenye clinic yao, lakini naona siwezi kuvumilia mpaka alhamis maana sikio linauma sana,
Pouwaa nashukuru kk ngoja nifanye hivyoyeye anafanya sucking ama kupigwa bomba analainisha kwanza na hydrogen peroxide ikilainika inavutwa....ukiwa unaenda kariakoo shuka fire alaf ulizia pale ilipo hospital ya regency