Pamba ndani ya sikio

Ototo

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
1,215
1,076
Habari jf,

Wanajukwaa wiki tatu zilizopita nilikua natoa uchafu sikioni kutumia pamba stick, sasa kwa bahati mbaya pamba ikabaki ndani ya sikio, nikaenda kituo cha afya, wakachukua mabomba ya sindano wakajaza maji wakayapush ndani ya sikio, lakini sikio likazidi kuziba, nilivyorudi nyumbani nikachukua tena pamba stick likalizibua likazibuka.

Sasa tatizo langu sikio limeanza kuziba tena, nimeenda hospital wameangalia wamesema hawaoni kitu ndani, lakini mimi nasikia kabisa sikio limeziba.

Jamani anaefahamu hospital yoyote inayotoa huduma ya masikio kwa usanifu anielekeze kwa Dar es salaam
 
Pole kwa hayo maswahibu mkuu.....mwombe Mungu zaidi..wataalamu wapo watakusaidia....isijekuwa kuna mkono wa mtu.....
 
Hydrogen peroxide utawekewa pale muhimbili na kufanyiwa wax removal pale muhimbili
 
Pole sana utapona tu hata me nilingiwa na mende skioni nikaenda spital waliitoa ila badae nikuwa naskia limeziba nikarudi tena spital wakanipa dawa ya kuweka mpaka sasa niko vizuri
 
Pole sana utapona tu hata me nilingiwa na mende skioni nikaenda spital waliitoa ila badae nikuwa naskia limeziba nikarudi tena spital wakanipa dawa ya kuweka mpaka sasa niko vizuri
Hospital gani mkuu??
 
Na mm nimewahi kupata tatizo kama lako, pamba ilibaki ckioni nilipochokonoa likazibuka niliishi nalo kwa miezi kadhaa ila nakua nahic Luna kitu ndani, Siku moja nilikaa nikachokonoa taratibu nikagusa kitu nikaendelea kukivuta hadi ikatoka nikakuta ni ile pamba imeshajaa wax.
 
Sijui watu wa viwango wapo wapi maana pamba zinazouzwa hizi za kichina jero jero ni mbovu ndizo zinazobaki sikioni.
 
Habari jf,

Wanajukwaa wiki tatu zilizopita nilikua natoa uchafu sikioni kutumia pamba stick, sasa kwa bahati mbaya pamba ikabaki ndani ya sikio, nikaenda kituo cha afya, wakachukua mabomba ya sindano wakajaza maji wakayapush ndani ya sikio, lakini sikio likazidi kuziba, nilivyorudi nyumbani nikachukua tena pamba stick likalizibua likazibuka.

Sasa tatizo langu sikio limeanza kuziba tena, nimeenda hospital wameangalia wamesema hawaoni kitu ndani, lakini mimi nasikia kabisa sikio limeziba.

Jamani anaefahamu hospital yoyote inayotoa huduma ya masikio kwa usanifu anielekeze kwa Dar es salaam
Nenda Regency hospilal kuna ENT specialist pale.
 
Nenda Regency hospilal kuna ENT specialist pale.
Iko wapi hiyo mheshimiwa maana nimeenda muhimbili nimeishia kuumia zaidi, maana wemejaribu kunitoa na ncha fulani hivi iliyochongoka ya plastic lakini wameshindwa wakidai pamba imeenda deep zaidi, na mwanzo nilikua sisikii maumivu lakini walivyoingiza hiyo ncha ndo maumivu yameanza
 
yeah mzuri sanaaa anaitwa dokta Edwin ashawah kunitibu sikio liliziba pia
Anatibu kwa kutumia nini mkuu, na ninaomba kuelekezwa ilipo hiyo hospital, maana nimeenda muhimbili wakawa wanajaribu kunitoa na ncha fulani hivi ya plastic iliyochongoka, kwa kweli walizidi kuniumiza na pamba hawakuitoa wakidai iko mbali sana, wakaniambia niende alhamis kwenye clinic yao, lakini naona siwezi kuvumilia mpaka alhamis maana sikio linauma sana,
 
Nenda
1. EL Jumaa ipo kariakoo mtaa wa Sikukuu/Mafia

2.Dr Ekenywa clinic ipo nyuma ya petrol station ya Super star magomeni
 
Back
Top Bottom