Pamafund kuna nini kimetokea?

Kusema kweli ilo neno ndio nimelisikia leo. Pamafund. Nikajua umekosea kutype, nika Google.

Nanukuu.

KAMPUNI YA UHAKIKA PAMA FUNDS

Ni kampuni inayolipa faida ya uhakika, kazi yako ni kuweka pesa yako na unalipwa kwanzia 2% hadi 4% kila siku kutegemeana na mtaji uliowekeza
Company ya pama funds inafanya biashara kwenye sector tano gold, Forex, oil, bonds, crypto

Mwisho wa kunukuu.

Yaani naweka hela ili nipewe hela. Hii biashara bado kuna watu wanafanya?
 
Watanzania kwa kupenda kupokea bila kuvitolea jasho tu hodari mno, ndiyo maana DECI, Qnet, Forever, Namaingo, wazee wa tuma wenye namba hii, jina itatokea lile, hawawezi kuisha.

Everyday is Saturday................................😎
 
Watanzania kwa kupenda kupokea bila kuvitolea jasho tu hodari mno, ndiyo maana DECI, Qnet, Forever, Namaingo, wazee wa tuma wenye namba hii, jina itatokea lile, hawawezi kuisha.

Everyday is Saturday................................😎
Mkuu,
Nini kimetokea pama fund??
 
Wakuu,
Ambaye amejiunga na pama fund naomba atupe mrejesho je kina lolote limetokea????
 
Umemaliza.

Wazee wa fursa.

Wazee wa ku download hela.

Wazee wa chekundu chekundu, chekundu.

Acha wapige hela.
 
Mkuu,
Nini kimetokea pama fund??
Siifahamu ndiyo nimeiona hapa, ila kwa hiyo business plan ya weka hela upewe hela kila siku, ni dhahiri ni Upatu, ponzi scheme na imefeli kama DECI.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Watu anatapatapa huko ,wakati walikuwa wanasema wanatengeneza hela wamelala ,sisi ambao tunatembeza vyombo walituona hatuna akili
View attachment 1819092
Kimeumana πŸ™†β€β™‚οΈπŸ€¦β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈπŸ€§πŸ€­πŸ€« salaaleh!
Hela za kudanlodi!πŸ˜…πŸ˜‚kazi iendelee

Everyday is Saturday.............................😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…