Until kizazi kilichoshika uongozi kipite kwanza, ndio tutaona mabadiliko. Walioko pale ni wazee, unadhani watakuja na ideas mpya?AI inavyokua kwa kasi halafu Tanzania wanaanzisha elimu ya dini kwa watoto wao ndio hapo unachoka kabisa.
Elon anasema by 2030 AI itakua na akili nyingi kuliko binadamu.
Toka AI imeingia binafsi imenirahisishia sana utendaji wangu wa kazi wa kila siku.View attachment 2953358View attachment 2953359