Naona IJUMAA leo ,watu wamesali na jasba kuwapanda!
Leo suicide bomber ameua watu 17 huko Afghnistan,lakini hakuna hata mtu mmoja mwislamu amecondemn hii.Gahdafi amtoa fatwa kwa Waswis!Come on!
Mahmoud nafikiri ungeangalia Weusi Wenzako wanavyosota huko Darfur ,na the late Colonel John Garanga alivyofight Islamists wa North Sudan.
Kituko na Abdulhalim,you are right,kuna hypocricy kubwa kwa hawa wenzetu .
Mahmoud,Igunga na Tumaini nendeni mkajiunge na Waarabu kufight Mjew.
Bila ya Mungu kuwapa uwezo hawa Mayahudi,sijui tungekuwa wapi.
Ukiniambia nichague kati ya Mjew na Mwarabu,nitakwenda kwa Mjew mara elfu.
Kama wewe Mtanzania unamshabikia Mtaleban ,au mamullah wa Iran,basi akili yako sio nzuri