mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,190
Pole mkuu,Haya mapishi ni shida, Kuna siku nilipika mchicha nikaweka maji kama vile napika maharage...mmmhhh acha tu.
UtajijuuHata baadhi ya wamama tunapika hivyo eti
We jike au dume?Kupika bhana yataka moyo, huwa napika wali lkn kila siku unakuga bokoboko, na unaungulia mpaka nawaza cjui ninunue jiko la mkaa ndo nitafaulu
Huyu atakuwa mama wa kichaga
Kwa hiyo unaona sifa kufanya ujinga ?