Pale mwanaume wa dar alipokosea...

Maamaae harudii tena huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: ywf
ha ha haaa!!! huyo tayari ameishaenda kwa sir God na hivi wanakula chips pumzi imesha kata tayari!!
 
Busara za wanaume husababisha madhara some time
Jamaa hakujipanga kwa mapambano inaelekea
 
Si mchezo anachezea vitasa tuonyeshe na wa bara inakuaje
 
Mwanaume inaonekana hakutaka kupigana kiviiile, wakati demu aliamua kutumia uwezo wake wote. Hekima ya mwanaume yamponza.
 
Daaaah imenikumbusha mbaaali sana hii- kuna kipindi nilikuwa namdinya mdada mmoja hivi ,sasa ile tupo ndani mara katokea jamaa kagonga mlango kwa fujo sana pale ( nanihiii fungua mlango!) tukionyeshe kazi hicho kinjemba chako, unanikataa mimi kumbe una mwanaume wako sio!!. Basi yule chuda akaainuka akaufungua mlango na kuufunga kwa nje, aiseee aliwashushia kipigo wale masharobaro( walikuja 2) kipigo cha mbwa mwizi. Wakatokomea, karudi zake ndani kudinyana kukaendelea
 
Sahihisha kichwa cha habari hapo ni koromije mnaseme Dar uyo ni mwanaume wa kanda ya titi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…